Ni land cruisel prado SX5.0 turbo halijawahi kuwa na changamoto hio, changamoto hio nimeiona siku mbili tatu hizi nikifika speed 70kph kuitafuta 80kph
Ila likipita 80kph linatulia linafanya hivyo pia unapopunguza mwendo.
Naombeni msaada wataalamu
Unataka unipe spacio halafu unichune hapo hapo spacio uichukue na hili ulichukue
Shida iko kwenye transmission hiyo, haswa magari yenye 4wd or AWD mara nyingi. Hata rav 4 kuanzia 2003 kupanda wana hii issueMara ya mwisho kubadilisha Spark Plugs wire ignition cables ni lini mkuu?
Mkuu mimi sio fundi hua wanasema hiyo vibration inaweza kuchangiwa na vitu kama kuchoka kwa plug, mounting nk sasa sijajua service ya plug kama umeifanya hivi karibuni.Unataka unipe spacio halafu unichune hapo hapo spacio uichukue na hili ulichukue
Watu wanasahau sana hii kituCheck engine mountain I'm sure utakuja kunishikuru
Nunueni mapya acheni ubahiliTangu kuanza kumiliki gari Nilipata hii changamoto mara tatu na gari tatu tofauti.
Mara mbili ilikuwa tatizo la tairi mara moja mount
Used mkuu ndo mazuri. 0km yanapunguza nguvu za kiume.Nunueni mapya acheni ubahili