Tatizo la gari kutetemeka kwenye speed likifika speed ya 70kph hadi 80kph

Kagua tairi zako,kama zina viraka vya ndani vilivyozibwa inaweza kuwa ni moja ya shida,kwani inaweza kuwa mikanda ndani ya tairi imeharibika au kukatika....
 
Wheel balance?
Allignment na Balance na zile pin za uzito za kwenye rim. Mara ya pili ilikuwa ni tairi zimeisha kwa utofauti, ukiziangalia zipo sawa, exp date bado ila kuna ambayo ina sijui kauvimbe. Inshort Mambo yalikuwa mengi yasiyotaka janja janja zaidi ya kununua mpya.
 
Gari linaweza kukunyanyasa ka kitu kadogo sana
 
Back
Top Bottom