machu ally
New Member
- Sep 10, 2024
- 3
- 4
Hilo tatizo liliwahi kunitokea kwenye gari yangu nikiwa dodoma ila nilivua tyres za nyuma nikaweka mbele na za mbele nikaweka nyuma bcoz za nyuma zilikua zimelika kuliko za mbele tatizo liliondoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda umepita kidogo Ila kwa kumbukumbu zangu ile ya allignment, balance na zile weight za rim ilikuwa laki mbili kasoro, ile ya tairi nilinunua tairi, Hii ya mount nilinunua mount sijui ilikuwa laki nne kasoro hivi nadhani.Ulitumia aproxmately shilingi ngapi
Reasonable kabisa sidhani kama itapishana sanaMuda umepita kidogo Ila kwa kumbukumbu zangu ile ya allignment, balance na zile weight za rim ilikuwa laki mbili kasoro, ile ya tairi nilinunua tairi, Hii ya mount nilinunua mount sijui ilikuwa laki nne kasoro hivi nadhani.
Badili plugNi land cruisel prado SX5.0 turbo halijawahi kuwa na changamoto hio, changamoto hio nimeiona siku mbili tatu hizi nikifika speed 70kph kuitafuta 80kph
Ila likipita 80kph linatulia linafanya hivyo pia unapopunguza mwendo.
Naombeni msaada wataalamu
Wheel balancing na bearing na bolt joint ndio vitu vya kuangalia ndio hua vinaleta sana hio shidaKuna mambo kadhaa ya kukagua: Shock absorbers hasa kama ni zile zenye kuuanganishwa na damper na sping. Wheel bearings, and wheel balancing. Hayo ndiyo mambo makubwa.
mengine ni pamoja na kuhakikisha kuwa infini ina spark plug safi, air cleaner safi na injector safi. Vitu hivi huweza kusababisha injini itetemeke na kusababisha gari lote litetemeke kwenye spidi za juu.
Kabisa mkuuReasonable kabisa sidhani kama itapishana sana
Kama tyres zako ni nzuri, kafanye wheel balance na wheel alignment.Ni land cruisel prado SX5.0 turbo halijawahi kuwa na changamoto hio, changamoto hio nimeiona siku mbili tatu hizi nikifika speed 70kph kuitafuta 80kph
Ila likipita 80kph linatulia linafanya hivyo pia unapopunguza mwendo.
Naombeni msaada wataalamu
Wengi wamekueleza kuangalia matairi, na ni kweli matairi kama hayana mizania sawa hilo tatizo huja, angalia uchakavu wake, upepo wa tairi zote na kufanya wheel balance kama ikibidi, ukishamaliza kufanya hivyo ndiyo uende kwenye axle na suspensions.Sawa sawa mkuu ahsante sana🙏🏼🙏🏼
Land cruiser Prado...Lilikua gari gani
Linaogopa lawama lisije likaambiwa ndilo limesababisha kifo chako kwa kukimbia sana.Ni land cruisel prado SX5.0 turbo halijawahi kuwa na changamoto hio, changamoto hio nimeiona siku mbili tatu hizi nikifika speed 70kph kuitafuta 80kph
Ila likipita 80kph linatulia linafanya hivyo pia unapopunguza mwendo.
Naombeni msaada wataalamu