Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Ndani ya mwaka mmoja nimeongezeka sana uzito karibia 10kg!! Naanza kuona hata kitambi kinakuja! Ikabidi nichukue hatua! No nyama, no ugali no wali no kilevi! Japo sina sukari Lkn ongezekola uzito limenistua! Mazoezi ya nguvu 5 days a week! Every day 30 min running! Lengo langu nitoe kg15 ndani ya miezi miwili! God help me
 
1. Epuka vinywaji vyenye sukari nyingi baadala yake pendelea kunywa maji mengi au kahawa, kama ukinywa chai hakikish sukari siyo nyingi

2. Usipendelee kula nyama nyekundu na nyama zilizosindikwa baadala yake waweza kula samaki, kuku au mboga zingine

3. Kama ni mvutaji wa sigara, jaribu kuziepuka

4. Pendelea kufanya mazoezi na usiruhusu mwili wako ukae muda bila mazoezi

5. Mfumo wako wa chakula, angalia na aina ya mafuta unayotumia pia na vyakula vingine huwa chanzo cha tatizo hili
Kwa wale wanaojua njia nyingine pia ni vizuri kuziweka hapa faida ya watu wengi
Kisukari hakikubaliki!

ubarikiwe mkuu
 
1. Epuka vinywaji vyenye sukari nyingi baadala yake pendelea kunywa maji mengi au kahawa, kama ukinywa chai hakikish sukari siyo nyingi

2. Usipendelee kula nyama nyekundu na nyama zilizosindikwa baadala yake waweza kula samaki, kuku au mboga zingine

3. Kama ni mvutaji wa sigara, jaribu kuziepuka

4. Pendelea kufanya mazoezi na usiruhusu mwili wako ukae muda bila mazoezi

5. Mfumo wako wa chakula, angalia na aina ya mafuta unayotumia pia na vyakula vingine huwa chanzo cha tatizo hili
Kwa wale wanaojua njia nyingine pia ni vizuri kuziweka hapa faida ya watu wengi
Kisukari hakikubaliki!

Kisukari kimekuwa Gonjwa la Taifa. Tafadhali chukua tahadhari. Madhara ya hili Gonjwa ni makubwa sana.
 
Ikumbukwe pia huu ugonjwa unapelekea upungufu wa nguvu za kiume.

Mwenyezi Mungu tuepushie mbali tusisahau kuzingatia mambo haya aliyotushauri mkuu Kibo10 .. Madaktari kama kuna mengine mtujuze.
 
Last edited by a moderator:
Ilmu mujarab sana wadau. Ninaifanyia kazi kuanzia sasa hivi. Ahsante mleta thread.

Pamoja mkuu hizi ndizo thread za jamii acha zile ukawa vs ccm
Na bado uchumi unadorora pamoja kiongozi
 
Mpwa Elli mbona mie nimepita na nimefaidika na huu uzi!
 
Last edited by a moderator:
kwa mara ya kwanza kujijua kuwa nina sukari nilikwenda kucheki kipicho cha kawaida cha mkojo kujua kama ni mchafu au laa. Matokeo yake yule mpimaji alishangaa kuona nina shukari kubwa kupita maelezo. kipimo kilionyesha ipo juu sana zaidi ya 35. kwani kipimo kilikuwa kinatoa alarm. wakati sukari ya kawaida kipomo kinapaswa kionyeshe kati ya 4 hadi 6,7.

yule dockata baada ya kunihoji alinambia kuwa nilipaswa kulazwa ili waniflash, lakini akanipatia dawa ya kuflash na kunishambia nirudoi siku iliyofaya ili nianze cliniki ya sukari. hata hivyo rafiki angu mmoja ambae nae ni dokta nilipompa habari alinishauri nisianze kutumia dawa nilizopewa bali nitafuteMAGOME YA MZAMBARAU nichemshe na kuja glass mara mbili kwa siku. pamoja hiyo nifanye mazoezi ya kutoa jasho walau kwa dkk 30. Ni mwaka wa pili sasa nashukuru roho yangu kuwa imepambana na matamanio ya nafsi. nimeacha yote tuliyoelekezwa na Kibo10 na kwa sasa naendelea na mazoezi. nashauri ya usiku usiku yanatoa jasho kwa wingi zaidi.

As ante Mkuu. Dawa hii unatumia kwa siku ngapi?
 
Watu wengi hawaelewi kuwa kuna aina nyingi za sukari. Zipo sukari friendly kwa mwili na zisizo friendly. Moja kwa moja sukari ya chai na iliyomo ktk soda sio nzuri kwa watu ambao wapo venerable na kisukari. Sukari friendly ni ile inayotokana na chanzo kama matunda etc embe, chungwa, ndizi nakadhalika. Sukari ni sehemu tuu ya source of energy ktk mwili na ukiikosa unaweza kufikia hatua ya kuwa ktk coma. Hata ukiwa na kisukari cronic bado unaihitaji. Hoja hapa ni namna ya ku balance na ndio ugumu ulipo.

Dawa ya kwanza ni mazoezi. Ni muhimu sana maana sukari as energy hutumika kama fuel katika mwili wa mtu. Isipotumika ipasavyo hujazama mwilini na kuleta madhara. Diet pia ni muhimu. Sioni direct implication ya red meats na diabetes maybe indirect katika matunzo ya moyo. Tuangalie utalishwaji wa nyama zote white and red. Grilled or boiled is safer than fried. Watu hajui kuwa a reasonable content of alcohol ni good for the body because it thins the blood. Kila kitu kikizidi kina madhara yake! Nasisitiza tena mazoezi yote cardiavascular ndio zaidi yatakuweka safe side. Siku njema.
 
Pombe pia imo sana,maana naona tunaizunguuka.
Jingine pia ni stresses,maana sukari ifahamke pia inaendana na Presh.Mgonjwa wa sukari presha ikiwa juu basi sukari inafuata.Na ndio maana mgonjwa wa sukari utasikia wengine vifo vya ni vya ghafla



Mazoezi ni muhim sana,unaweza hata kutengamuda wa kutembea tu iliuchome Saida Kaloris mwili ujiweke sawa.
Mbaya zaidi unakuta mtuakifanya mazoezi ya kutembea basi ratiba yake yote anaibadilisha,akifika home yeye ni kutuma tu kama muhindi,hata kuinuka kuchukua remote hawezi,hii inakuwa ni sawa na zero,mazoezi hayatakiwi kubadilisha taratibu zako za kilasiku.
Kwa wale tunaoishi ukanda wa pwani kuogelea ndio mpango mzima,sio lazima ujue kuogelea ila wewe rukaruka kama bata tu ni bonge la mazoezi.
Vyakula muhim ni vile ambavyo sie tunaona havina issue,kama mchicha,msusa,matembele,kisamvu,spinach,Kabej nk.
Bei zake ni rahisi sana,lakini ukienda sokoni unaona mtu anapita kama havioni vile,Pale Buguruni ikifika jioni Matunda kibaoo,unanunua fungu moja unaongezwa jingine,lakini ukiangali wengi wanunuaji ni wale wapita njia.Yaani mtua anakula tunda kwa njaa na sio kama set up ya mlo wake.

 
Nimeshaanza kuchukua hatua, maana naona sasa naikaribia 40.


  1. Nimeachana na matumizi ya sukari kwa kiasi kikubwa na sasa natumia asali.
  2. Situmii bia wala sigara, ila pia nimeacha matumizi ya Soda
  3. Nimeacha red meet yaani ng'ombe na mbuzi. Kiti moto situmii
  4. Nimeachana na ulaji wa kuku wa kisasa nimespecialize kwenye kuku wa kienyeji na samaki
  5. Nafikria pia kuachana na ugegedaji ......hahahahhaa (HII NI UTANI AKINA Evelyn Salt wasije wakanimind
Na vitu vitamu uache kutumia, papuchi pia...
 
Back
Top Bottom