kwa mara ya kwanza kujijua kuwa nina sukari nilikwenda kucheki kipicho cha kawaida cha mkojo kujua kama ni mchafu au laa. Matokeo yake yule mpimaji alishangaa kuona nina shukari kubwa kupita maelezo. kipimo kilionyesha ipo juu sana zaidi ya 35. kwani kipimo kilikuwa kinatoa alarm. wakati sukari ya kawaida kipomo kinapaswa kionyeshe kati ya 4 hadi 6,7.
yule dockata baada ya kunihoji alinambia kuwa nilipaswa kulazwa ili waniflash, lakini akanipatia dawa ya kuflash na kunishambia nirudoi siku iliyofaya ili nianze cliniki ya sukari. hata hivyo rafiki angu mmoja ambae nae ni dokta nilipompa habari alinishauri nisianze kutumia dawa nilizopewa bali nitafuteMAGOME YA MZAMBARAU nichemshe na kuja glass mara mbili kwa siku. pamoja hiyo nifanye mazoezi ya kutoa jasho walau kwa dkk 30. Ni mwaka wa pili sasa nashukuru roho yangu kuwa imepambana na matamanio ya nafsi. nimeacha yote tuliyoelekezwa na
Kibo10 
na kwa sasa naendelea na mazoezi. nashauri ya usiku usiku yanatoa jasho kwa wingi zaidi.