1. Epuka vinywaji vyenye sukari nyingi baadala yake pendelea kunywa maji mengi au kahawa, kama ukinywa chai hakikish sukari siyo nyingi
2. Usipendelee kula nyama nyekundu na nyama zilizosindikwa baadala yake waweza kula samaki, kuku au mboga zingine
3. Kama ni mvutaji wa sigara, jaribu kuziepuka
4. Pendelea kufanya mazoezi na usiruhusu mwili wako ukae muda bila mazoezi
5. Mfumo wako wa chakula, angalia na aina ya mafuta unayotumia pia na vyakula vingine huwa chanzo cha tatizo hili
Kwa wale wanaojua njia nyingine pia ni vizuri kuziweka hapa faida ya watu wengi
Kisukari hakikubaliki!

Ilmu mujarab sana wadau. Ninaifanyia kazi kuanzia sasa hivi. Ahsante mleta thread.
Pamoja mkuu hizi ndizo thread za jamii acha zile ukawa vs ccm
Na bado uchumi unadorora pamoja kiongozi
kwa mara ya kwanza kujijua kuwa nina sukari nilikwenda kucheki kipicho cha kawaida cha mkojo kujua kama ni mchafu au laa. Matokeo yake yule mpimaji alishangaa kuona nina shukari kubwa kupita maelezo. kipimo kilionyesha ipo juu sana zaidi ya 35. kwani kipimo kilikuwa kinatoa alarm. wakati sukari ya kawaida kipomo kinapaswa kionyeshe kati ya 4 hadi 6,7.
yule dockata baada ya kunihoji alinambia kuwa nilipaswa kulazwa ili waniflash, lakini akanipatia dawa ya kuflash na kunishambia nirudoi siku iliyofaya ili nianze cliniki ya sukari. hata hivyo rafiki angu mmoja ambae nae ni dokta nilipompa habari alinishauri nisianze kutumia dawa nilizopewa bali nitafuteMAGOME YA MZAMBARAU nichemshe na kuja glass mara mbili kwa siku. pamoja hiyo nifanye mazoezi ya kutoa jasho walau kwa dkk 30. Ni mwaka wa pili sasa nashukuru roho yangu kuwa imepambana na matamanio ya nafsi. nimeacha yote tuliyoelekezwa na Kibo10na kwa sasa naendelea na mazoezi. nashauri ya usiku usiku yanatoa jasho kwa wingi zaidi.
haahahahaa si kwasababu nilikwambia?Mpwa Elli mbona mie nimepita na nimefaidika na huu uzi!
Na vitu vitamu uache kutumia, papuchi pia...Nimeshaanza kuchukua hatua, maana naona sasa naikaribia 40.
- Nimeachana na matumizi ya sukari kwa kiasi kikubwa na sasa natumia asali.
- Situmii bia wala sigara, ila pia nimeacha matumizi ya Soda
- Nimeacha red meet yaani ng'ombe na mbuzi. Kiti moto situmii
- Nimeachana na ulaji wa kuku wa kisasa nimespecialize kwenye kuku wa kienyeji na samaki
- Nafikria pia kuachana na ugegedaji ......hahahahhaa (HII NI UTANI AKINA Evelyn Salt wasije wakanimind
Na vitu vitamu uache kutumia, papuchi pia...
usihofu katika mlo wako pata na vitunguu maji kwa wingi sana , navyo vinasaidiaDah ebana nipo kwenye danger zone