Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Watu wengi wenye ugonjwa wa kisukari hufa wakati sukari imeshuka sana kuliko ikiwa juu! Kuwa mwangalifu sana wakati iko chini, Mola awa teteee nyote wenye huu ugonjwa
AAMIN
 
Watu wengi wenye ugonjwa wa kisukari hufa wakati sukari imeshuka sana kuliko ikiwa juu! Kuwa mwangalifu sana wakati iko chini, Mola awa teteee nyote wenye huu ugonjwa
AHSANTE
 
HADI 1 HALAFU UKAWA VEMA KABISAAA!
 

Atafute Habat Souda (Black seed) hizi zipo za maji (mafuta) au za mbegu utapata maelezo kutoka kwa wauzaji wa dawa za Kiarabu/Kihindi, inasaidia sana
 
Mleta mada amemaanisha dawa itakayoleta relief katika critical stage, hayo mazoezi ni hatua ya baadae hali ikiwa stable.
Lakini unaweza tumia dawa lakini usifuate masharti ya vyakula na kama alivyosema mazoezi, usipo fuata masharti ya vyakula hata kama unatumia dawa sukari itapanda tu.
 
Hii ni solution tosha lakini kwa sisi waafrika ni ngumu sana kuifuata.
Nilimjaribisha mama yangu akapigia ndugu zake simu kwamba mie na mke wangu tunamnyanyasa na kumnyima vyakula, nilinyanyua mikono
Hahahaha maisha ni changamoto.. Nimekumbuka Mzee mmoja akiwa KCMC sukari 20.., wachaga wakampikia "machalari" tens ya nyama ya mbuzi.. Mzee akala....so sad.......R.I.P.. Wakiambiwa wale kidogo hawaelewi ... Pole mkuu!
 
Mkuu wangu lazima apungyze wanga... Kila mlo wake weka mboga za majani za buku na tango parachichi za buku ugali ale saizi ya ngumi take ukijiendekeza eti Tanzania bila ugali atakula nini ...soon you will loose him or her!!!!!!! Good luck
 
Mkuu wangu lazima apungyze wanga... Kila mlo wake weka mboga za majani za buku na tango parachichi za buku ugali ale saizi ya ngumi take ukijiendekeza eti Tanzania bila ugali atakula nini ...soon you will loose him or her!!!!!!! Good luck
 
Kwanza kabisa napenda kumshukuru mungu kwa kutujalia pumzi mimi na wewe, siku hii ya leo juma pili tar 30/4/17.Ndungu zangu kisukari ni hatari sababu watu wengi hawana ufaham juu ya hili gonjwa na pia wapo watu hadi leo wanaamini kisukari ni ugonjwa wa ma boss na sio watu wa hali ya chini kimaisha.Watu wa aina hii wapuuzwe maana wana imani potofu.Labda nianze kwa kueleza kisukali au Ki sugar nini? Kifup pale insulini inaposhindwa kubalance kiwango cha sukari mwilini ndipo chanzo cha ugonjwa wa kisukari.Mazingira yanayo pelekea isulini kushindwa ku control kiwango cha sukari ni pamoja na kuzidi au kupungua kwa kiwango cha sukali mwilini.Lakini mara nyingi kuzidi kwa sukali ndo kitovu cha wengi kupata kisukari.Wengi watu hupata kisukari kwa kutokujua vya kula ambavyo huweza kusababisha kuzidi kwa sukari mwilini.Wengi tunajua kula sukari nyingi ndo chanzo cha kisukari,wapo sahihi ila tungekuwa sahihi zaid tungejua vyakula ambavyo huongeza sukali mwilini.Hii ingewasaidia kuwa makini pindi tutumiapo sukari na vyakula vya sukali,ambavyo husababisha ongezeko LA sukari mwilini visipotumiwa kwa utaratibu.Hivyo basi ili kujizuia na kisukari ni lazima kila moja awe makini na vyakula vya carbohydrates (wanga) ambayo baada ya kutiwa tumboni then hubadilishwa kuwa glycogen,baada ya hapo glycogen hubadilishwa kuwa Glucose ambayo ni sukali.So kama umekula vya kula vya carbohydrates,at the same time ukanywa au kula sukali utakuwa umekula; "sukali juu ya sukari" ambayo ni hatari kwa afy.
Carbohydrates imegawanyika katika makundi yafwatayo.
1: monosaccharides-simple sugar
2:Oligosaccharides-hundwa na muunganiko wa simple sugar
3😛olysaccharides-Huundwa na muunganiko wa ologosaccharide.
N.B kila kundi hapo juu lina list ya vyakula vyake,lakini kulifanya somo liwe rahisi nitavi orodhesha vyakula vyote ambayo vita fit kwa kila kundi lililotwajwa hapo juu.
Bila ya kupoteza mda ifuatayo ni list ya vyakula vya carbohydrates ambayo ndio chanzo cha kisukari au ki sugar kwa lugha ya kiswa-English.
-sukali ya miwa
-glucose
-asali
-Matunda
-maziwa
-Biscute
-Mikate
-pelemende za kumung'unya
-vyakuka vyote vinavyo weza kukobolewa kama:
°mahindi
°muhogo
°viazi (vitam na mviringo)
°ngano
°mtama
°ndizi
°mchele n.k
Hivyo basi ni jukum la kila mmoja kujua vyakula vya carbohydrates then awe makini navyo kwa sababu vinachangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la sukali mwilini,lakini vile vile kuacha kuvitumia kunaweza kusababisha kisukari pia.Ni vema vikatumika ila kiu makini i.e Too much carbohydrates food is harmful, but also too low carbohydrates food is harmful as well.
Pamoja sana,kama somo limekugusa comment maneno yanao leta hope pia unaweza ku like au ku share na washikaji.
Thanx for your attention.
 
Thank you for your attention,toa kwenye list mboga tu kama ipo, itakuwepo ki makosa
 
Reference please as this is not your original discovery/finding!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…