Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Naombeni msaada kuhusu hii kitu inaitwa aspartine,ni kemikali inayowekwa kwenye vinywaji sikuhizi ina ladha ya sukari lakin sio sukari,mfano soda ya coke zero,ukiinywa ni kama soda kabsa sukar yake lakin sio sukari,je ni kwel hii ni nzur kwa diet nzur kwa tunaoogopa ugonjwa huu,..mi imekua ndo mbadala wangu wa soda sikuhiz kwasabab napenda sana soda
 
Tutaish vipi bila ya kula ivyo vya kula vya nafaka alivovitaja
Mpendwa usikomalie tu ilimradi... utumie kwa viwango kidogo na siyo kupapukia...
kula Samaki
kula kuku
kula bran wheat ngano nzima
kula veggyz , tango nk nk
tumia chai green tea coffee nazi nk
 
Naombeni msaada kuhusu hii kitu inaitwa aspartine,ni kemikali inayowekwa kwenye vinywaji sikuhizi ina ladha ya sukari lakin sio sukari,mfano soda ya coke zero,ukiinywa ni kama soda kabsa sukar yake lakin sio sukari,je ni kwel hii ni nzur kwa diet nzur kwa tunaoogopa ugonjwa huu,..mi imekua ndo mbadala wangu wa soda sikuhiz kwasabab napenda sana soda
Kunywa soda sio tatizo ila itakuwa tatizo kama unakunywa sana,na unakula carbohydrates mara nyingi and then haufanyi mazoez or any physical exercise.Hii itaipa shida isulini katika kubalace/control kiasi cha sukali.
 
Onesha references sio kutoa kichwani mwako ,,,afu onesha aina za kisukari
Nimesoma nikaelewa ndo maana najiamini,sina haja yakurudia kusoma mambo niliyo kwisha soma nakuyaelewa.We uyenabisha ndo uje na reference inayo onyesha sehem inayoleta mkanganyiko au kama hujaelewa sehem kuwa specific usaidiwe.
 
Maelezo yako yanakanganya inawezekana huna elimu hiyo ya ugonjwa wa kisukari au umeshindwa namna ya kuwasilisha ulichokusudia kutueleza
Mkuu hili ni jukwa huru, unapokosoa hebu njoo alternative reference ambayo wewe unayo.
 
Kwanza wewe orodha iyo ya vyakula uliyoitoa sio kibisaa na walasio kisababishi cha sukari ira kama unatatizo la sukari utashauriwa baadhi ya vyakura usitumie isitoshe kiazi kitam kinasaidia sana kushusha sukari mwirini
 
Tutaviombea kabla ya kuvila hivyo vyakula then vitaliwa tu, maana hakuna namna nyingine
 
Back
Top Bottom