Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Mimi hapo kwenye Asali nakuomba poo kubwa,maana nilikaririshwa kua Asali ni tiba nzuri,nimeacha kutumia vitu vya sukari natumia Asali,kumbe nayo ni hatari!wacha nife.
Asali sio hatari kiongozi kama utaitumia kwa utaratibu unaotakiwa.Na issue iliyopo mezani ni kuwasaidia watu wajue kuwa vyakula vya wanga vinapoliwa hubadilishwa na mwili kuwa glucose (sukari),endapo hii glucose ikizidi mwilini husababisha insulini ishindwe control kiasi cha sukari mwilini na hatimaye kupelekea kisukari.
 
Sukari ya miwa unajua? Mboga za majani mambo ambayo hujui nyamaza au uliza mboga ya majani ilileta ugojwa wa Sukari lini au umetumwa?
 
low curb diet ndiyo anayotaka muanzisha mada,

siku wana JF siku nyingine wanakuwa wamelalia upande wa kushoto,lol

utachambwa weee,lol

sijui kuhusu mboga,ila najua matunda kama zabibu,yanaongeza kisukari.
 
Huyu jamaa anajua sugar cane juice is good for diabetics coz it's low in the glycemic index scale with a score of 42 which is and considered safe for diabetics.
 
Maelezo yako yanakanganya inawezekana huna elimu hiyo ya ugonjwa wa kisukari au umeshindwa namna ya kuwasilisha ulichokusudia kutueleza
Huyu amesoma plant nutrion .Ingekuwa vyema kama angeshauri vyakula vya kutumia mtu mwenye sukari
 
Sukari ya miwa unajua? Mboga za majani mambo ambayo hujui nyamaza au uliza mboga ya majani ilileta ugojwa wa Sukari lini au umetumwa?
Wapi nimeandika mboga za majani zinasababisha ki sugar au unatunga?
Soma kwanza maada uielewe usikurupuke kujibu usicho kijua.
 
Huyu jamaa anajua sugar cane juice is good for diabetics coz it's low in the glycemic index scale with a score of 42 which is and considered safe for diabetics.
Purpose/intention of this thread is not issue of making promo,but it displayed for purpose of helping people i.e especially those who are not aware on how carbs related to diabetes. So don't speak as if you have got bottle of alcohol.
 
Mimi binafsi nimeshtushwa sana na hii taarifa kwa ujumla hasa hiyo orodha ya vilivyotajwa kuwa chanzo cha ugonjwa wa kisukari. Kwenye hiyo orodha kuna baadhi ya vyakula ambavyo wagonjwa wa kisukari wamekua wakishauriwa kula ili kupunguza shida ya afya zao. UZURI WA JF TUKO NA WATU WA AINA ZOTE MPAKA TIBA. Kwa wale wadau wa fani hii tunaomba marekebisho tafadhari.
Kula matunda mboga mboga kwa wingi, chakula jamii ya maharage, mfano mlo wako wa jioni unaweza kuwa vijiko vikubwa vitatu vya wali na kujazia maharage, na mchicha pamoja na kunywa maji mengi. Ndizi za kijani pia ni nzuri lakini tunaharibu pale tunapozichanganya na nyama yenye mafuta au kutumia mafuta mengi kwenye upishi. Kama utaweza kuchemsha ndizi za kijani ule na mchicha pamoja na samaki wa kuoka ni bomba sana.
 
Nikasome mara ngapi,toa mawazo ulivyo soma na kuelewa kuusu nutrition na balanced diet.Na elimu uliyo nayo juu ya vyakula vya wanga na kisukari sio kuni face direct.Discuss the topic don't discuss some one else.Kama kuna point ambayo nimeielezea tofauti iweke wazi sio kuongea maneno mengi ambayo yapo out of topi.
Mimi kitaaluma ni daktari wa binadamu ugonjwa wa kusukari naujua,hata wasomaji wengine humu ni madaktari na wanaujua huu ugonjwa.Ni ukweli usiopingika kuwa wewe si daktari bali ni mganga wa kienyeji anaejaribu kukariri mambo asioyajua.Kama sio mganga wa kienyeji basi utakuwa tiba mbadala kama akina dokta Mwaka aliejiita daktari bingwa wa magonjwa ya kike wakati kasomea huduma ya kwanza( first aid.Kwa hiyo ukweli utabaki palepale kuwa wewe kisukari hukijui ndio maana hata wasomaji wengi humu wamekugomea kuwa ulichoandika ni madudu tu.Halafu hata kiswahili hukiwezi sasa masomo magumu utayaweza vipi??.Please don't exercise your stupidity so opennly like that.
 
Sawa mkuu,kama we umesoma udaktari na nilicho kiandika hakina uhusiano na kisukari pinga kwa hoja za msingi sio kufanya personal attack.Nilitegemea utakuja na point za msingi zinazo pinga hoja badala yake unaongea pumba,pia siwezi kukaa kimya kwa kitu ambacho nakijua kwa kuhofia watu kama wewe.
 
Hoja za msingi zipi? Hizi za kukukatalia kuwa usiwadanganye Watanzania kuhusu kisukari ndio mhimu,au ulitaka tukupongeze kwa uongo wako?Wasomaji karibu wote wamekugomea sio mimi tu.Kama wewe ni mtaalamu wa nutrition basi elimisha juu ya hayo unayoyajua.Pumba zangu ziko wapi au ndo zako unataka kunirushia mimi?Usitapetape kasome kwanza.
 
We kimeo kweli! Unadhani nimekurupuka kama unavyokurupuka wewe na kupinga mada usiyokuwa na ufaham nayo,onyesha sehemu niliyodanganya ili usahihishe nilipokosea.Na pia usifwate mkumbo kisa watu wengi wanapinga nawe ndo upinge.Stick on reality.
 
Huyy jamaa ameandika kihisia tu....halafu aache kuchanganya watu....et Juice ya miwa..sasa watu wanywe soda au?
Hapo ndipo nashindwa kumwelewa eti asali kweli na matunda nayo ni chanzo cha sukari???[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Vyote vilivyo tajwa ni rafiki wa afy but inategemea jinsi unavyo vitumia,kama una vitumia kwa mkupuo vinaweza kuleta shida na usipo tumia kabisa pia ni tatizo.Cha msingi usile vingi sana kwa wakati mmoja mfano kula ugali,wali,maziwa,viazi na sukali kwa wakati mmoja au kwa siku nzima bila kuchanganya na vyakula vingine vya protein, lipids,vitamins,watar na madini sio nzur kiafy
Mm ni mtumiaji wa asali mzuri unanishaurije labda?
 
Hayo umesoma au umetunga? Reference ni muhimu.
Nimesoma kwanza from different sources ndo nika realize topic.By the way sioni haja yakuto references ya mahindi au asali haliyakuwa watu wanaifaham.Shida yako umejiandaa kupinga,mi nilizani kama unalengo la kujifunza ungetumia mda wako kutafuta kama nilicho andika ni cha kweli au la!.
 
Back
Top Bottom