Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Naombeni msaada kuhusu hii kitu inaitwa aspartine,ni kemikali inayowekwa kwenye vinywaji sikuhizi ina ladha ya sukari lakin sio sukari,mfano soda ya coke zero,ukiinywa ni kama soda kabsa sukar yake lakin sio sukari,je ni kwel hii ni nzur kwa diet nzur kwa tunaoogopa ugonjwa huu,..mi imekua ndo mbadala wangu wa soda sikuhiz kwasabab napenda sana soda