CLES B
JF-Expert Member
- Jul 7, 2013
- 733
- 458
Unaleta mzaha kwenye maisha ya mwenzio? Hongera zako,mzima wa leo mgonjwa wa kesho.Aungamishe vikojolea saana itamsaidia kuburn excess sugar mwilini na afanye physical exercise
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaleta mzaha kwenye maisha ya mwenzio? Hongera zako,mzima wa leo mgonjwa wa kesho.Aungamishe vikojolea saana itamsaidia kuburn excess sugar mwilini na afanye physical exercise
AAMINWatu wengi wenye ugonjwa wa kisukari hufa wakati sukari imeshuka sana kuliko ikiwa juu! Kuwa mwangalifu sana wakati iko chini, Mola awa teteee nyote wenye huu ugonjwa
AHSANTEWatu wengi wenye ugonjwa wa kisukari hufa wakati sukari imeshuka sana kuliko ikiwa juu! Kuwa mwangalifu sana wakati iko chini, Mola awa teteee nyote wenye huu ugonjwa
HADI 1 HALAFU UKAWA VEMA KABISAAA!Dawa ambayo inashusha mbona zipo nyingi kama unaijua zambarau chukua kokwa zake zianike kishà zitwange ziwezi unga chemsha maji tia kijiko kimoja kwenye maji yenye uvuguvugu kabla ya kunywa chochote asubuhi kunywa au mda laini mwambie awe anautafuna au mchunga auchemshe anywe maji yake kabla hajanywa chochote asubuhi kama anae mtu yupo uk yapo maji ya naitwa heath water mimi mwenyewe nina deibetic hutumia na hivyo vidogo hutumia hizi nilokwambia 99% Akipenda mungu itashuka mimi yangu hufikia 35 sugar huiteremka hadi 1 nifate in box
Duh!!!Aungamishe vikojolea saana itamsaidia kuburn excess sugar mwilini na afanye physical exercise
Hello Gentleman and ladies Nina ndugu yangu ana kisukari type 2 ambacho kinapanda hadi 17 ,anatumia dawa aina ya metroformin 500mg lakini hazimsaidii ,Kama kuna mtu anayejua Dawa mbadala au ya phamacy naombeni msaada wenu please .
Have a great day you guys.
Lakini unaweza tumia dawa lakini usifuate masharti ya vyakula na kama alivyosema mazoezi, usipo fuata masharti ya vyakula hata kama unatumia dawa sukari itapanda tu.Mleta mada amemaanisha dawa itakayoleta relief katika critical stage, hayo mazoezi ni hatua ya baadae hali ikiwa stable.
Hahahaha maisha ni changamoto.. Nimekumbuka Mzee mmoja akiwa KCMC sukari 20.., wachaga wakampikia "machalari" tens ya nyama ya mbuzi.. Mzee akala....so sad.......R.I.P.. Wakiambiwa wale kidogo hawaelewi ... Pole mkuu!Hii ni solution tosha lakini kwa sisi waafrika ni ngumu sana kuifuata.
Nilimjaribisha mama yangu akapigia ndugu zake simu kwamba mie na mke wangu tunamnyanyasa na kumnyima vyakula, nilinyanyua mikono
Mkuu wangu lazima apungyze wanga... Kila mlo wake weka mboga za majani za buku na tango parachichi za buku ugali ale saizi ya ngumi take ukijiendekeza eti Tanzania bila ugali atakula nini ...soon you will loose him or her!!!!!!! Good luckKwanza Natanguliza shukrani zangu kwenu kwa jinsi mlivyotoa ushaurii nasaha bila kumkwaza mgonjwa wangu mbarikiwe sana sana .Jana ndio ameanza Ile dose ya bamia ,Ndugu zanguni embu tupeni two weeks tulete marejesho ndugu zanguni ,Asanteni sana naomba muendeelee na ushaurii bila kukoma ,.Kwa Tanzania bila ugali na wali utakula nini jamani ,kwa ukweli ameacha sembe sasa anakula Donna .na mboga za Majani ,
Mkuu wangu lazima apungyze wanga... Kila mlo wake weka mboga za majani za buku na tango parachichi za buku ugali ale saizi ya ngumi take ukijiendekeza eti Tanzania bila ugali atakula nini ...soon you will loose him or her!!!!!!! Good luckKwanza Natanguliza shukrani zangu kwenu kwa jinsi mlivyotoa ushaurii nasaha bila kumkwaza mgonjwa wangu mbarikiwe sana sana .Jana ndio ameanza Ile dose ya bamia ,Ndugu zanguni embu tupeni two weeks tulete marejesho ndugu zanguni ,Asanteni sana naomba muendeelee na ushaurii bila kukoma ,.Kwa Tanzania bila ugali na wali utakula nini jamani ,kwa ukweli ameacha sembe sasa anakula Donna .na mboga za Majani ,
Reference please as this is not your original discovery/finding!Kwanza kabisa napenda kumshukuru mungu kwa kutujalia pumzi mimi na wewe, siku hii ya leo juma pili tar 30/4/17.Ndungu zangu kisukari ni hatari sababu watu wengi hawana ufaham juu ya hili gonjwa na pia wapo watu hadi leo wanaamini kisukari ni ugonjwa wa ma boss na sio watu wa hali ya chini kimaisha.Watu wa aina hii wapuuzwe maana wana imani potofu.Labda nianze kwa kueleza kisukali au Ki sugar nini? Kifup pale insulini inaposhindwa kubalance kiwango cha sulali mwilini ndipo chanzo cha ugonjwa wa kisukari.Mazingira yanayo pelekea isulini kushindwa ku control kiwango cha sukari ni pamoja na kuzidi au kupungua kwa kiwango cha sukali mwilini.Lakini mara nyingi kuzidi kwa sukali ndo kitovu cha wengi kupata kisukarii.Wengi wa hupata kisukari kwa kutokujua vya kula ambavyo huweza kusababisha ki sugar.Wengi wanajua kula sukari nyingi ndo chanzo cha kisukari,wapo sahihi ila wangekuwa sahihi zaid wangejua vyakula ambavyo huongeza sukali mwilini.Hii ingewasaidia kuwa makini pindi watumiapo sukari na vyakula vya sukali,ambavyo husababisha ongezeko LA sukari mwilini visipotumiwa kwa utaratibu.Hivyo basi ili kujizuia na kisukali ni lazima kila moja awe makini na vyakula vya carbohydrates (wanga) ambayo baada ya kutiwa tumboni then hubadilishwa kuwa glycogen,baada ya hapo glycogen hubadilishwa kuwa Glucose ambayo ni sukali.So kama umekula vya kula vya carbohydrates,at the same time ukanywa au kula sukali utakuwa umekula; "sukali juu ya sukari" ambayo ni hatari kwa afy.
Carbohydrates imegawanyika katika makundi yafwatayo.
1: monosaccharides-simple sugar
2:Oligosaccharides-hundwa na muunganiko wa simple sugar
3😛olysaccharides-Huundwa na muunganiko wa ologosaccharide.
N.B kila kundi hapo juu lina list ya vyakula vyake,lakini kulifanya somo liwe rahisi nitavi orodhesha vyakula vyote ambayo vita fit kwa kila kundi lililotwajwa hapo juu.
Bila ya kupoteza mda ifuatayo ni list ya vyakula vya carbohydrates ambayo ndio chanzo cha kisukali kwa wagojwa wengi.
-sukali ya miwa
-glucose
-asali
-maziwa
-Biscute
-pelemende za kumung'unya
-vyakuka vyote vinavyo weza kukobolewa kama:
°mahindi
°muhogo
°viazi (vitam na mviringo)
°ngano
°mtama
°ndizi
°mchele n.k
Hivyo basi ni jukum la kila mmoja kujua vyakula vya carbohydrates then awe makini navyo kwa sababu vinachangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la sukali mwilini,lakini vile vile kuacha kuvitumia kunaweza kusababisha kisukari pia.Ni vema vikatumika ila kiu makini i.e Too much carbohydrates food is harmful, but also too low carbohydrates food is harmful as well.
Pamoja sana,kama somo limekugusa comment maneno yanao leta hope pia unaweza ku like au ku share na washikaji.
Thanx for your attention.