Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Kuna suala la matumizi ya SWEETENERS........kuna controversies nyingi sana behind these things..........DIET PEPSI, COKE LIGHT SUGAR FREE ICE CREAMS etc nk.,.........unaishia kuwa addicted na madawa yake kama Sodium Saccharin na Aspartame

Kweli ni controversy, na has inakuja pale mtu unapotaka kuonekana kwamba na wewe huuko tofauti unajikuta umeagiza baadae ndo kupelekea addiction.

Ila kwenye sweeteners hasa kwa ajili ya chai, kuwa wakati inakuwa ngumu kukwepa hasa linapokuja swala la chai ya rangi!
 
Kweli ni controversy, na has inakuja pale mtu unapotaka kuonekana kwamba na wewe huuko tofauti unajikuta umeagiza baadae ndo kupelekea addiction.

Ila kwenye sweeteners hasa kwa ajili ya chai, kuwa wakati inakuwa ngumu kukwepa hasa linapokuja swala la chai ya rangi!

Aspartame ni afadhali kuliko Sodium Saccharin.........mara nyingi sweeteners za Aspartame huwa na rangi nyekundu na za SC huwa kijani....mara moja kwa siku sio mbaya ila usitumie vidonge zaidi ya nane kwa siku......ina saiida kukimbiza hiyo addiction....hizo carbonated drinks sio nzuri kwa kuwa zanaleta vidonda vya tumbo kwa sababu tuna poor digestive systems....sugar free iicecream yenye vanilla ni nzuri (once a week) kwa kusafisha tumbo
 
Asante mkuu. Ikichanganywa na juice ya passion ama ukwaju kupunguza uchungu si bado inafaa? Ikiwa mbichi nahisi itakuwa poa zaidi kuliko kuchemsha...chlorophyll unazipata nzima nzima
Hapana......unayakamua juice na kisha kuinywa...unawaeza kuyakatakata slices ukachemsha kidogo tu hadi maji yageuke kijani.....halafu weka kwenye friji unakunywa saa kabla ya mlo
 
Mimi ninao kitambo........natumia KARELA....mazoezi na muhimu zaidi kutokuwaza kuwa nina kisukari na kuwa ni gonjwa baya....DIABETES ni rafiki yangu

Soma hapa kwa makini: Bitter Gourd Juice For Diabetics « Choicest Healthy Recipes for Diabetes and Obesity

kakaracopyrightedimage1.jpg

Hilo tunda linapatikana hapa Bongo? Linaitwaje kibongo? Usisahau pia Mlonge. Kunywa chai yake kila siku, tafuna mbegu zake angalau tano mara tatu kila siku. Magamba ya mti hutumika kutakasa maji ya kunywa kwa kuweka kipande cha ganda ndani ya maji ya kunywa, vidudu vingi hufa. Pia mchezo wa "mpira" chumbani hunoga zaidi na cd4 huongezeka/ Mwe! Wahindi wana raha sana, maana ina protein kibao hata watoto ukiwapa akili huwa sharp kukua na pia hakuna utapia mlo. na mambo kadha. Dadangu mmoja ameachana na vidonge vya shinikizo la damu, mlonge umesawazisha. Uwe mvumilivu tu mbegu chungu kidogo lakini ukinywa maji husikia sukari sana mdomoni.
 
Asante mkuu. Ikichanganywa na juice ya passion ama ukwaju kupunguza uchungu si bado inafaa? Ikiwa mbichi nahisi itakuwa poa zaidi kuliko kuchemsha...chlorophyll unazipata nzima nzima

Hapana usiichanganye na juice zingine..........labda ndimu tu after a while unaizoea tu
 
Madhara yake huwa makubwa kwa mwenywe vidonda hupelekea kukatwa mguu kani hiyo hali ikukute iwahi mapema
 

Attachments

  • FGGG.jpg
    FGGG.jpg
    19.1 KB · Views: 129
Tunataka tujue ww ni doctor? Au ni mfanyabiashara wa foreverliving? Msije mkajitia ma dr. Mkauwa watu.mama yangu mdogo alipoteza maisha kwa kisukari huku akikomaa na bidhaa za forever living.hazifanyi kazi na wala hazikumsaidia. Kumbe nyie wafanyabiashara.yani unakuta ww mwenyewe hujui thn unamrecommend mtu anywe. Acheni kucheza na roho ya mtu. Roho ikiondoka hamna spare.
 
Tunataka tujue ww ni doctor? Au ni mfanyabiashara wa foreverliving? Msije mkajitia ma dr. Mkauwa watu. Kumbe wafanyabiashara.
"IF A STUDENT IS READY THE TEACHER WILL SHOW UP"
Inavyoonekana uamini yatendekayo kwamba vipofu wanaona,viziwi wanasikia na viwete wanatembea.foleverliving products hawauzi dawa aliyekwambia kakudanganya.zile ni bidhaa ambazo zinaongeza virutubisho mwilini kwa maana ya vitamini,madini na amino asidi ambavyo mwili kila siku unahitaji ili kuwa na kinga madhubuti katika kukabiliana na magonwa au matatizo mbalimbali yatokanayo na mtindo wa maisha.

kwa hiyo ndugu yangu si vibaya kama utamsaidia mtu mwenye tatizo fulani atumie hizi bidhaa kwani zinafanya kazi kweli sio utani mimi nikiwa kama shahidi namba moja wa kupona ugonjwa wa ngozi.kuhusu suala la udaktari ni kweli yeyote anayeuza dawa lazima awe daktari au ana utaramu na mambo ya tiba,hilo nakubali.karibu sana
 
Samahani kama nakuaribia biashara. But lazima tutofautishe biashara na roho ya mtu.what happen mtu kapata side effect na dawa zenu. Utaweza mshauri? Na ww si doctor. Coz pressure na kisukari zikiwa juu mtu hachukui round. Unawezaje muuzia mtu kitu ww mwenyewe ukifahamu? Sio kuwa nakuaribia biashara yako? But afya si kitu cha majaribio.
 
Mimi nimeweza kusoma hiyo post ya alovera na nimeikubali ipo makini sababu na mimi ni mwelewa siyo mbishi wa asiyekifahamu. Inatakiwa kabla mtu hajatoa comment ambayo ni negative(kama ilivyo kwa wengi) awe anauliza na kuweza kueleweshwa ili asipotoshe maana ya jambo lenyewe. Kama kuna mtu anataka kuweka comment na anahitaji kupata uelewa zaidi basi anaweza kuniandikia kwa email: healthwealthfirst@gmail.com
 
Mimi nina ndg yangu ana tatizo ilo. Amekuwa akitumia dawa za kichina na doctor alimwambia ni nzuri. Je kwa mnaojua madawa izi za wachina zina side effect??? Naomba jibu jamani
 
mama yangu anaumwa na sukari huu ni mwaka wa 8 sasa. imebidi ahamie dar sababu ya kuudhurida dialysis after every one day. jamani kuna njia mbadala zaidi ya hapo? ameacha mji wake mwanza for more than 10months now. kuna anaeweza nisaidia hapa wapendwa?
 
Mama yangu anazidiwa na kisukari hivi sasa licha ya kuendelea kupata matibabu katika hospitali ya amana, anapoteza uzito kwa kasi sana sana. Anayefahamu lolote tafadhali - nakwama.

Mkuu Pole kwa kuuguza,

Sijui shida unayoiulizia ni Kisukari au kupungua uzito!

Kupungua kwa uzito kwa mgonjwa wa Kisukari kunaweza kusababishwa na Kisukari chenyewe(Type I DM) au matibabu(yaani hapa, kwa dawa anazotumia) au Upungufu wa Kinga(hutokea pia kwa wagonjwa kuwa na kinga pungufu, hivyo uwezekano wa magonjwa kupungua kwa mwili).

Ni vizuri kuongea na daktari wake kujua sababu hasa ni ipi!
 
Products for detox, slimming, balancing & rejuvenation. Good for constipation, cough, cold, ulcer, diabetes, hypertension stroke heart diseases liver diseases anemia skin diseases hormonal imbalance varicose veins body odors high and low blood pressure cancer wounds{operating wounds} sore throat hemorrhoids asthma arthritis hapatitis ppyorrhea obesity hayfever thyroid migraine and headache kidney failure etc. What is Healthy Living? Chronic diseases have increasingly plagued modern society. This can be attributed to the stress brought about by hectic and unhealthy lifestyles, as well as living in a polluted environment. Now, more than ever, managing our health is essential to sustain ourselves, for us to function at our peak while doing our daily activities. However, maintaining good health is no longer just about eating well, exercising. You can contact us:... +255 655 347 303 +255 756 347 303
 
mama yangu anazidiwa na kisukari hivi sasa licha ya kuendelea kupata matibabu katika hospitali ya amana, anapoteza uzito kwa kasi sana sana. Anayefahamu lolote tafadhali - nakwama.
tafuta mbegu za mlonge na majani yake.
 
mama yangu anaumwa na sukari huu ni mwaka wa 8 sasa. imebidi ahamie dar sababu ya kuudhurida dialysis after every one day. jamani kuna njia mbadala zaidi ya hapo? ameacha mji wake mwanza for more than 10months now. kuna anaeweza nisaidia hapa wapendwa?

Though nje ya topic, ila mkuu sijaelewa wahitaji kusaidiwa kwa namna gani..kwani mama anapata matibabu!

Mojawapo ya madhara(complications) ya Kisukari, iwapo haitakuwa monitored vyema ni kupata madhara katika figo
ila kama bi kuhamia kufanya Mwz, sidhani kama inawezekana kwani Dialysis Centres ziko chache mkuu hata wataalam wa figo ni wakuhesabu pia!

Givyo ni bora kubaki Dar kuendeleza matibabu.
 
hippocratessocrates maana yangu ni kwamba kama kuna tiba za asili na yy aweze kurudi kwake DAr. Dialysis Tanzania nzima ni dar peke yake so amehamia Dar na mpaka awe kwenye Dialysis ni kwamba figo zina shida zote mbili. ndio hawa sbabu yangu ya kuomba msaada kama kuna anejua tiba za kienyeji coz ni tiba za zamani but smtms zinafanya kazi. that is my reason mkuu ya kuomba msaada hapa kama hakuna bac tutaendelea na huo mchakato mpaka wakati wa kwenda India ukifika wa kumfanyia transplant
 
hippocratessocrates maana yangu ni kwamba kama kuna tiba za asili na yy aweze kurudi kwake DAr. Dialysis Tanzania nzima ni dar peke yake so amehamia Dar na mpaka awe kwenye Dialysis ni kwamba figo zina shida zote mbili. ndio hawa sbabu yangu ya kuomba msaada kama kuna anejua tiba za kienyeji coz ni tiba za zamani but smtms zinafanya kazi. that is my reason mkuu ya kuomba msaada hapa kama hakuna bac tutaendelea na huo mchakato mpaka wakati wa kwenda India ukifika wa kumfanyia transplant

Natambua tabu unayopata mkuu, kwa wagonjwa wengi ninawashauri watumie dawa za hospitali(pharmaco-industrial made) na ndivyo ningewndelea kushauri kuwa hivyo,...Lajini katika hili inabidi kufuata maelezo ya mkuu wetu MziziMkavu, awa kuwasiliana naye zaidi.
 
Back
Top Bottom