Kuna suala la matumizi ya SWEETENERS........kuna controversies nyingi sana behind these things..........DIET PEPSI, COKE LIGHT SUGAR FREE ICE CREAMS etc nk.,.........unaishia kuwa addicted na madawa yake kama Sodium Saccharin na Aspartame
Kweli ni controversy, na has inakuja pale mtu unapotaka kuonekana kwamba na wewe huuko tofauti unajikuta umeagiza baadae ndo kupelekea addiction.
Ila kwenye sweeteners hasa kwa ajili ya chai, kuwa wakati inakuwa ngumu kukwepa hasa linapokuja swala la chai ya rangi!
Hapana......unayakamua juice na kisha kuinywa...unawaeza kuyakatakata slices ukachemsha kidogo tu hadi maji yageuke kijani.....halafu weka kwenye friji unakunywa saa kabla ya mlo
Mimi ninao kitambo........natumia KARELA....mazoezi na muhimu zaidi kutokuwaza kuwa nina kisukari na kuwa ni gonjwa baya....DIABETES ni rafiki yangu
Soma hapa kwa makini: Bitter Gourd Juice For Diabetics « Choicest Healthy Recipes for Diabetes and Obesity
Asante mkuu. Ikichanganywa na juice ya passion ama ukwaju kupunguza uchungu si bado inafaa? Ikiwa mbichi nahisi itakuwa poa zaidi kuliko kuchemsha...chlorophyll unazipata nzima nzima
"IF A STUDENT IS READY THE TEACHER WILL SHOW UP"Tunataka tujue ww ni doctor? Au ni mfanyabiashara wa foreverliving? Msije mkajitia ma dr. Mkauwa watu. Kumbe wafanyabiashara.
Mama yangu anazidiwa na kisukari hivi sasa licha ya kuendelea kupata matibabu katika hospitali ya amana, anapoteza uzito kwa kasi sana sana. Anayefahamu lolote tafadhali - nakwama.
tafuta mbegu za mlonge na majani yake.mama yangu anazidiwa na kisukari hivi sasa licha ya kuendelea kupata matibabu katika hospitali ya amana, anapoteza uzito kwa kasi sana sana. Anayefahamu lolote tafadhali - nakwama.
mama yangu anaumwa na sukari huu ni mwaka wa 8 sasa. imebidi ahamie dar sababu ya kuudhurida dialysis after every one day. jamani kuna njia mbadala zaidi ya hapo? ameacha mji wake mwanza for more than 10months now. kuna anaeweza nisaidia hapa wapendwa?
hippocratessocrates maana yangu ni kwamba kama kuna tiba za asili na yy aweze kurudi kwake DAr. Dialysis Tanzania nzima ni dar peke yake so amehamia Dar na mpaka awe kwenye Dialysis ni kwamba figo zina shida zote mbili. ndio hawa sbabu yangu ya kuomba msaada kama kuna anejua tiba za kienyeji coz ni tiba za zamani but smtms zinafanya kazi. that is my reason mkuu ya kuomba msaada hapa kama hakuna bac tutaendelea na huo mchakato mpaka wakati wa kwenda India ukifika wa kumfanyia transplant