Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Type 1 au II?Wenye diabetes tujikinge zaidi kipindi hiki cha Coronavirus,maana sisi tupo kwenye kundi la kuwa weak baada ya kirusi kuingia kwenye mwili. Though Dr wangu aliniambia im still young immunity itambana sio sawa na mtu mzee mwenye diabetes ila still aliniambia nijikinge. Hivyo tujikinge. Tuepuke misongamano. Mfano leo pasaka hata kanisani sijakwenda.
2Type 1 au II?
Hiyo ni normal. Ukipima na ikawa >1,26 under fasting,mara mbili ujue una kisukari.Hivi vipimo vyako sivielewi. mimi nilipima week hii hii nikakutwa na 5.3
Akaniambia ikiwa below 4 ni mbaya na ikiwa above 6 ni mbaya pia.
Hii 1.22g/l kwenye scale niliyo pimia mimi ingekua ngapi?
Victoire
Mwanamme kisukari sio lazima upime hospital ili ijue kama unacho. Mchepukoni ni kipimontosha. Ila kama unataka ujue extent ndio utaenda hospitalHiyo ni normal. Ukipima na ikawa >1,26 under fasting,mara mbili ujue una kisukari.
Kwamba jogoo hawiki. Inasikitisha kuna wanaume wana kisukari wanawake zao wamewakimbia na kwenda kuolewa kwingine,wanasahau ile waliapa katika Ugonjwa ama katika afya njema.Mwanamme kisukari sio lazima upime hospital ili ijue kama unacho. Mchepukoni ni kipimontosha. Ila kama unataka ujue extent ndio utaenda hospital
Mwanamme kisukari sio lazima upime hospital ili ijue kama unacho. Mchepukoni ni kipimontosha. Ila kama unataka ujue extent ndio utaenda hospital
Kinacho muweka mwanamke kwenye ndoa sio pesa wala nini. Ni jogoo tu. Ndio maana wanawake walioolewa wana wivu sana. Hawataki jogoo akatumike kwingine arudi legelegeKwamba jogoo hawiki. Inasikitisha kuna wanaume wana kisukari wanawake zao wamewakimbia na kwenda kuolewa kwingine,wanasahau ile waliapa katika Ugonjwa ama katika afya njema.
Mkuu kwani hiyo ya 197000 ipoje?maana me niliambiwa ni kama million moja na kidogo,nipe mchakato wa hiyo unakuajePole sana mkuu.
Kwani una umri gani?? Maana mara nyingi type 1 DM huwa inawapata sana watoto wadogo. Na kuna mtu nilikutana nae aliniambia huwa wanpewa insulin bure hadi wakifika miaka 18.
Pia option nyingine ni kukata bima ya afya hata ile ya 197,000 kwa mwaka nadhani itasaidia sana kupunguza gharama za insulin.
Na kama bado uko shuleni unaweza kukata ile ya 50400 ya mwaka .
Bima kuna kipindi niliuliza na kwa umri wangu inaanzia 240,000 ila kuna baadhi ya magonjwa hayapo katika orodha ikiwemo figo, ini, moyo ,kansa na kisukari kama sikosei yaani nhif hizi packages zao mpya wamezingua
Kwenye website ya nhif wanaelezea vizuri.. lakini kama anaetumia anatumia kwa matumizi ya kawaida na sio kwamba ana ugonjwa unaohitaji vipimo kama CT scan na MRI inafaa sana..Mkuu kwani hiyo ya 197000 ipoje?maana me niliambiwa ni kama million moja na kidogo,nipe mchakato wa hiyo unakuaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka msaada wako nzuri lakini utoi ushirikiano kiasi kama kweli unataka kutusaidia kama wewe ulivyoona kuhusu shida ya sukari ilivyo kubwa huu ugonjwaLeo ni karibia miezi tisa tangu sukari irudi normal. Jana tarehe 21 Jan 2020 nilipima alfajiri nikaona nimshirikishe mdau wangu aliyetaka nilete mrejesho baada ya mwaka mmoja. Kumbuka tangu nianze kutumia dawa nakula kama kawaida tu wala sifuati masharti yoyote...
Kaka sikuwa nimeona msg yako, tayari nimekujibuKaka msaada wako nzuri lakini utoi ushirikiano kiasi kama kweli unataka kutusaidia kama wewe ulivyoona kuhusu shida ya sukari ilivyo kubwa huu ugonjwa