Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Type 1 au II?Wenye diabetes tujikinge zaidi kipindi hiki cha Coronavirus,maana sisi tupo kwenye kundi la kuwa weak baada ya kirusi kuingia kwenye mwili. Though Dr wangu aliniambia im still young immunity itambana sio sawa na mtu mzee mwenye diabetes ila still aliniambia nijikinge. Hivyo tujikinge. Tuepuke misongamano. Mfano leo pasaka hata kanisani sijakwenda.