Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Wenye diabetes tujikinge zaidi kipindi hiki cha Coronavirus,maana sisi tupo kwenye kundi la kuwa weak baada ya kirusi kuingia kwenye mwili. Though Dr wangu aliniambia im still young immunity itambana sio sawa na mtu mzee mwenye diabetes ila still aliniambia nijikinge. Hivyo tujikinge. Tuepuke misongamano. Mfano leo pasaka hata kanisani sijakwenda.
Type 1 au II?
 
Hivi vipimo vyako sivielewi. mimi nilipima week hii hii nikakutwa na 5.3
Akaniambia ikiwa below 4 ni mbaya na ikiwa above 6 ni mbaya pia.
Hii 1.22g/l kwenye scale niliyo pimia mimi ingekua ngapi?
Victoire
 
Hiyo ni normal. Ukipima na ikawa >1,26 under fasting,mara mbili ujue una kisukari.
 
Mwanamme kisukari sio lazima upime hospital ili ijue kama unacho. Mchepukoni ni kipimontosha. Ila kama unataka ujue extent ndio utaenda hospital
Kwamba jogoo hawiki. Inasikitisha kuna wanaume wana kisukari wanawake zao wamewakimbia na kwenda kuolewa kwingine,wanasahau ile waliapa katika Ugonjwa ama katika afya njema.
 
Kwamba jogoo hawiki. Inasikitisha kuna wanaume wana kisukari wanawake zao wamewakimbia na kwenda kuolewa kwingine,wanasahau ile waliapa katika Ugonjwa ama katika afya njema.
Kinacho muweka mwanamke kwenye ndoa sio pesa wala nini. Ni jogoo tu. Ndio maana wanawake walioolewa wana wivu sana. Hawataki jogoo akatumike kwingine arudi legelege
 
Pole sana mkuu.
Kwani una umri gani?? Maana mara nyingi type 1 DM huwa inawapata sana watoto wadogo. Na kuna mtu nilikutana nae aliniambia huwa wanpewa insulin bure hadi wakifika miaka 18.

Pia option nyingine ni kukata bima ya afya hata ile ya 197,000 kwa mwaka nadhani itasaidia sana kupunguza gharama za insulin.
Na kama bado uko shuleni unaweza kukata ile ya 50400 ya mwaka .
 
Mkuu kwani hiyo ya 197000 ipoje?maana me niliambiwa ni kama million moja na kidogo,nipe mchakato wa hiyo unakuaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bima kuna kipindi niliuliza na kwa umri wangu inaanzia 240,000 ila kuna baadhi ya magonjwa hayapo katika orodha ikiwemo figo, ini, moyo ,kansa na kisukari kama sikosei yaani nhif hizi packages zao mpya wamezingua

Mkuu kuna kifurushi cha najali afya ambacho unatibiwa dispensary na vituo vya afya na kama ukipewa rufaa unaweza kutibiwa hadi hosp za juu.
Bei ni sh 192000 ..

Lakini wanasema dawa wanazotoa ni zile zinazotolewa kwenye dispensary na vituo vya afya kutokana na miongozo wa wizara ya afya.

Lakini mimi ninavyojua Insulini iko category A kutokana na kitabu cha wizara ya afya cha standard treatment guideline.. hivyo unaruhusiwa kupewa hadi kwenye vituo vya afya na dispensary kwahio.. bima ya 192000 inacover flesh tu..
20200502_145326.png
20200502_145245.png
 
Attachments

  • Screenshot_20200502-145127.png
    Screenshot_20200502-145127.png
    138.2 KB · Views: 8
Mkuu kwani hiyo ya 197000 ipoje?maana me niliambiwa ni kama million moja na kidogo,nipe mchakato wa hiyo unakuaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye website ya nhif wanaelezea vizuri.. lakini kama anaetumia anatumia kwa matumizi ya kawaida na sio kwamba ana ugonjwa unaohitaji vipimo kama CT scan na MRI inafaa sana..
Inacover dawa nyingi na vipimo vingi basic.
 
Leo ni karibia miezi tisa tangu sukari irudi normal. Jana tarehe 21 Jan 2020 nilipima alfajiri nikaona nimshirikishe mdau wangu aliyetaka nilete mrejesho baada ya mwaka mmoja. Kumbuka tangu nianze kutumia dawa nakula kama kawaida tu wala sifuati masharti yoyote...
Kaka msaada wako nzuri lakini utoi ushirikiano kiasi kama kweli unataka kutusaidia kama wewe ulivyoona kuhusu shida ya sukari ilivyo kubwa huu ugonjwa
 
Kaka msaada wako nzuri lakini utoi ushirikiano kiasi kama kweli unataka kutusaidia kama wewe ulivyoona kuhusu shida ya sukari ilivyo kubwa huu ugonjwa
Kaka sikuwa nimeona msg yako, tayari nimekujibu

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Habari Leo wadau naomba msaada as wadau kuhusu ugonjwa kisukari.nimeangaika kila kona nimekunywakaribu dawa nyingi na nimetumia hela nyingi sana mpk sasa nimekata tamaa naona nasubiri tu kudra za mungu manake hela tena sina sukari ipo juu kushuka ni mpk dawaza hospital inashuka kidogo tu.naomba msaada jamani sukari inanitesa nimeisha nimebaki skeleton
 
Pole.... Sukari haiponagi.. Jifunze kuishi nayo.
By the way sukari ikipanda, meza vidonge VIWILI vya cipro.. Hii dawa inasaidia sana kushusha sukari na kuondoa homa kwa mechanism of action ambayo mpaka sasa sijaweza kuifahamu.
 
Back
Top Bottom