Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anasikia kiu mara kwa mara.HII YA KUNYWA MAJI MARA KWA MARA inatafasirika vipi? Maana kuna watu tunakunywa maji sana ili kuweka mwili sawa. Na ukinywa maji sana maana yake ni kwamba utakojoa sana pia!
Kwa mgonjwa Wa kisukari inakuwaje? Anaskia kiu Mara kwa Mara au nini hufanya anywe maji sana?
Kula kila kitu unachopenda kwa utaratibu wa balanced diet BUT sharti lazima kupima kila siku na usiache kunywa dawa Huo ndio utaratibu mpya japo mm sio daktari, nahii ni baada yakugudua masharti ya chakula yalikuwa yanawadhoofisha wagonjwa sana,Wakuu wa nchi naombeni kwa mtu anayejua clinic ya watu wenye matatizo ya diabetes, kisukari , kwa mkoa wa Arusha mjini au Moshi mjini .
Maana nimechoka na hawa watu wasiokuwa na ujuzi wanakuambia usile tunda lolote labda tangoo tuu ,usinywe maziwa yeyote, usile mayai kabisa wali ,sembe ,machalariiii ,nyama hapana kabisa , mafuta ya aina yeyote ya kupikia.
Na wamesema kama ni ugali uwe wa mtama ,na mboga za majani basi.
Kama kuna mtu anafahamu diet ya mgonjwa wa diabetes please ashushee menu please.
Mmojawapo mimi ilibaki kidogo nipoteze maisha yangu kwa masharti magumu ya kisukari. Baada ya kuambiwa nile kila kitu sfya yangu imerudi na ni ngumu kujua kama naumwa kisukariKula kila kitu unachopenda kwa utaratibu wa balanced diet BUT sharti lazima kupima kila siku na usiache kunywa dawa Huo ndio utaratibu mpya japo mm sio daktari, nahii ni baada yakugudua masharti ya chakula yalikuwa yanawadhoofisha wagonjwa sana,
chanzo ni ulaji mbovuChanzo cha kisukari mamba moja ni kipi? Nini kinasababisha seli husika kushambuliwa?
1. Visababishi vya aina ya kwanza ya kisukariChanzo cha kisukari mamba moja ni kipi? Nini kinasababisha seli husika kushambuliwa?
kwa kuongeza tu type 1 DM inasababisha na vitu vingi kama ifuatavyoChanzo cha kisukari mamba moja ni kipi? Nini kinasababisha seli husika kushambuliwa?
Wagonjwa wa aina hii ya kisukari huhitaji kupewa dawa za insulin kwa njia ya sindano katika maisha yao yote ili waweze kuishi.
Ingawa ugonjwa wa kisukari unaweza kudhibitiwa, hauwezi kutibiwa.
Kwa ambao tayari wana kisukari na wapo tayari kutumia DAWA YA ASILI YA KISUKARI tunaweza kuwasiliana kwa maelezo zaidi.0656871878,
Ulaji mbovu unasababisha Type 2 sio 1.chanzo ni ulaji mbovu
Hiyo ni ripoti ya Kidaktari na inajulikana hospitali hakuna dawa inayotibu kisukari, lakini dawa za asili pamoja na kuwa hazipewi umuhimu kwa kizazi hiki cha leo hasa kizazi cha mijini, dawa asili zinatibu magojwa makubwa ajabu!Umesema Kisukari hakitibiki, hii dawa ya asili kazi yake ni nini?
Ni kweli maana vijana ni mwendo wa viepeyai na azamMango,starehe bila mazoezi na wataalamu wa afya kuchoka kutoa elimu ya afya,ni kuandika dawa tu!Kwa ulaji wa vyakula vyetu vya siku hizi na hasahasa mijini,upo uwezikano mkubwa sana takwimu kuongezeka hata mara tatu ya takwimu iliyo tolewa kwa takwimu itakayo fuata.
Nisahihishwe kama nimekosea, kisukari cha kwanza (Type 1 diabetes) kinatokana na genes na mara nyingi huwapata watu tangia wakiwa wadogo au umri wa balehe. Type 2 diabetes ndiyo huwapata watu kutokana na life style.chanzo ni ulaji mbovu
Ndicho nilichoandika mkuu,kuwa 1DM huwapata watoto,vijana lakini nimemjibu mrs milas kuwa hutokana na kurithi(genes),virusi, maziwa ya ng'ombe na baadhi ya madawa kama alivochangia carcinomaNisahihishwe kama nimekosea, kisukari cha kwanza (Type 1 diabetes) kinatokana na genes na mara nyingi huwapata watu tangia wakiwa wadogo au umri wa balehe. Type 2 diabetes ndiyo huwapata watu kutokana na life style.
Nisahihishwe kama nimekosea, kisukari cha kwanza (Type 1 diabetes) kinatokana na genes na mara nyingi huwapata watu tangia wakiwa wadogo au umri wa balehe. Type 2 diabetes ndiyo huwapata watu kutokana na life style.