Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Asante mkuu kuna aliyesema Type 1 hutokana na ulaju mmbovu ndiyo maana.Ndicho nilichoandika mkuu,kuwa 1DM huwapata watoto,vijana lakini nimemjibu mrs milas kuwa hutokana na kurithi(genes),virusi, maziwa ya ng'ombe na baadhi ya madawa kama alivochangia carcinoma