Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Apunguze au aache kabisa ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi na chumvi nyingi....aachane kabisa na soda aina zoteee...asijifariji kwa sijui zero...awe mtu wa kutumia chakula kiasi kidogo ila mara kwa mara...mazoezi siyo lazima yale ya gym...anaweza kutembea tu kwa nusu saa
Nashukuru mkuu barikiwa
 
Dawa ipo inatibu kwa haraka sana ndani ya siku 7 itakuwa sawa tunapatikana jijini mwanza kwa mawasiliano zaidi piga 0752097770
 
mkuu ingekuwa vema ukaweka hapa na wengine waijue
 
Mkuu,me nimewahi sumbuliwa na kisukari kwa miaka miwili na zaidi, kwa mara ya kwanza nilipoenda kupima nilikutwa na sukari 35 wakati normal ni 3-7, lakini sikuthubutu kutumia dawa za hospital wala kuchoma sindano za kisukari, nilichofanya nilianza mazoezi ya kukimbia, pushup, kutembea sana Kuhakikisha napunguza uzito nilio kuwa nao, pia nilichange system ya kula, nilipunguza kula vyakula vya wanga sana kama ugali wa kukobolewa nikawa nakula dona sana, nikapunguza kula wali, nikila wali nakula mboga majani nyingi sana, maji kwa wingi nikaachana na soda, nikawa nakunywa juice za kutengeneza mwenyewe, sikuwahi tumia tiba mbadala sijui hizo za matapeli tu.. Mkuu baada ya miaka miwili nilipona kabisa kisukari, NARUDIA TENA NILIPONA KABISA KISUKARI, NAKULA NA KUNYWA CHOCHOTE HATA SUKARI NALAMBA BAKULI ZIMA BILA SHIDA NA MIAKA MITANO IMEPITA TOKA NIPONE
MWAMBIA AFANYE MAZOEZI SANA, ATEMBEEE SANA, ACHUNGE MFUMO WA CHAKULA
 
Najaribu kuitafuta ila sijafanikiwa, niliipenda sana na kuamua kwamba ningeiweka hapa ili iweze kuwasaidia wenye matatizo hayo au wenye ndugu, jamaa au marafiki walioathirika na ugonjwa huo lakini sidhani kama niliihifadhi.

Naisubiri pia
 
Mkuu,me nimewahi sumbuliwa na kisukari kwa miaka miwili na zaidi, kwa mara ya kwanza nilipoenda kupima nilikutwa na sukari 35 wakati normal ni 3-7, lakini sikuthubutu kutumia dawa za hospital wala kuchoma sindano za kisukari, nilichofanya nilianza mazoezi ya kukimbia, pushup, kutembea sana Kuhakikisha napunguza uzito nilio kuwa nao, pia nilichange system ya kula, nilipunguza kula vyakula vya wanga sana kama ugali wa kukobolewa nikawa nakula dona sana, nikapunguza kula wali, nikila wali nakula mboga majani nyingi sana, maji kwa wingi nikaachana na soda, nikawa nakunywa juice za kutengeneza mwenyewe, sikuwahi tumia tiba mbadala sijui hizo za matapeli tu.. Mkuu baada ya miaka miwili nilipona kabisa kisukari, NARUDIA TENA NILIPONA KABISA KISUKARI, NAKULA NA KUNYWA CHOCHOTE HATA SUKARI NALAMBA BAKULI ZIMA BILA SHIDA NA MIAKA MITANO IMEPITA TOKA NIPONE
MWAMBIA AFANYE MAZOEZI SANA, ATEMBEEE SANA, ACHUNGE MFUMO WA CHAKULA
Nimesoma article moja mtandaoni kuwa mtu unapoongezeka uzito na kunenepeana hasa obesity inafanya mafuta kujaa tumboni hivyo kongosho nayo inazungukwa na mafuta hence inashindwa kuzalisha insulin. So unachotakiwa kufanya kwa type 2 diabete kwanza ni kukata belly fat kwa mazoezi na kubadili mfumo wa ulaji hivyo unareverse hali yako ya kawaida. Inawezekana kwako ndio imekuwa tiba. Mdau naye akazane na mazoezi na kubadili mfumo wake wa mlo.
 
mkuu ingekuwa vema ukaweka hapa na wengine waijue
Hiyo ni dawa ya maji inatibu sukari aina zote yakupanda na kushuka; pia tuna dawa ya cancer, pressure, moyo mkubwa, moyo wenye mafuta, moyo wenye matundu, tezi dume, bawasili, ini kuvimba,figo,uvimbe wa ndani na nje ya mwili, miguu kuvimba, miguu kuwaka moto,uzazi, ugumba, nguvu za kiume/kike, kwa wanawake ambao wanapata maumivu makali wakati wakiwa kwenye siku zao,siku zinazo pitiliza, maumivu makali wakati wa tendo na mengine mengi tunayatibu kwa haraka sana.tunapatikana jijini mwanza ila ukihitaji huduma utatumiwa popote ulipo itakufikia.sisi tunatoa huduma sio kuuza dawa tutahakikisha mgonjwa amepona. Kwa mawasiliano zaidi 0752097770 au 0787196313 karibuni sana
 
Wakuu habar za jioni, naomba msaada iwapo kuna tiba mbadala ya kisukar.
Nina ndugu yangu anaugua alipoenda kupima hospital akaambiwa ni kisukari kipo katika hatua za mwanzo.
Naomba msaada wenu kabla hakijafika hatua nyingine, asanten sana.
Hakuna tiba mbadala. Kuna DM 1 na DM 2.
Type 1 (DM 1) lazima atumie Insulin, la sivyo ....
Type 2 (DM 2) kuna mambo makuu matatu, la kwanza ni kupunguza wanga kwenye chakula, la pili ni kufanya mazoezi angalau kwa saa limoja au mawili kila siku (Jogging 1 - 2 km kwa siku). Na la tatu ni dawa za vidonge.
Tiba mbadala haitasaidia kwasababu ungojwa wa Type 2 ni kuwepo kwa chakula kingi kuzidi mahitaji ya mwili. Na misuli ambayo ni wadau wakuu wa kutumua glucose mwilini, inakataa kuisikiliza Insulin (Insulin Resistance). Solution ya hiyo hali ni rahisi na pia ni ngumu. Ni rahisi kwa vize ni swala la kupunguza "menu" na kufanya mazoezi, lakini hapo ndiyo watu wote wanafeli. Hakuna dawa inayoweza kuilazimisha misuli kuchukua glucose ya ziada ikasha kataa. Mtahangaika sana na ndani ya miaka 25 mgonjwa atakufa figo, wakati huo mtakuwa mmesha chelewa. Aanze mazoezi kidogo kidogo na kupunguza wanga.
Je umeshaona msukuma mkokoteni au mkulima wa jembe la mkono ana Type 2 DM? Hata siku moja, labda Type 1 ya kutumia Insulin.
Type 2 DM ni ugonjwa wa "Sedentarism", wa kula na kukaa. Wa wale ambao wakisha fika miaka 40 wamekuwa ni "wazee wenye heshima zao" hawawezi kutembea au kukimbia kwa vile haiendani na "heshima" zao .....
 
TAFUTA MANJANO HALISI YA UNGA KISHA TUMIA KIJIKO KIDOGO/CHA CHAI CHANGANYA NA MAZIWA FRESH GLASS 1 ANYWE ASUBUHI NA JIONI KISHA ULETE MREJESHO. BAADA YA WIKI LAKINI MAZOEZI NI LAZIMA DK 30 KWA SIKU PIA KUEPUKA UBWABWA,SEMBE,NYAMA NA MIKATE MEUPE
 
mkuu nashukuru nitaleta mrejesho
 
Hakuna tiba mbadala. Kuna DM 1 na DM 2.
Type 1 (DM 1) lazima atumie Insulin, la sivyo ....
Type 2 (DM 2) kuna mambo makuu matatu, la kwanza ni kupunguza wanga kwenye chakula, la pili ni kufanya mazoezi angalau kwa saa limoja au mawili kila siku (Jogging 1 - 2 km kwa siku). Na la tatu ni dawa za vidonge.
Tiba mbadala haitasaidia kwasababu ungojwa wa Type 2 ni kuwepo kwa chakula kingi kuzidi mahitaji ya mwili. Na misuli ambayo ni wadau wakuu wa kutumua glucose mwilini, inakataa kuisikiliza Insulin (Insulin Resistance). Solution ya hiyo hali ni rahisi na pia ni ngumu. Ni rahisi kwa vize ni swala la kupunguza "menu" na kufanya mazoezi, lakini hapo ndiyo watu wote wanafeli. Hakuna dawa inayoweza kuilazimisha misuli kuchukua glucose ya ziada ikasha kataa. Mtahangaika sana na ndani ya miaka 25 mgonjwa atakufa figo, wakati huo mtakuwa mmesha chelewa. Aanze mazoezi kidogo kidogo na kupunguza wanga.
Je umeshaona msukuma mkokoteni au mkulima wa jembe la mkono ana Type 2 DM? Hata siku moja, labda Type 1 ya kutumia Insulin.
Type 2 DM ni ugonjwa wa "Sedentarism", wa kula na kukaa. Wa wale ambao wakisha fika miaka 40 wamekuwa ni "wazee wenye heshima zao" hawawezi kutembea au kukimbia kwa vile haiendani na "heshima" zao .....
asante kwa ufafanuzi mzuri
 
Du
 
Back
Top Bottom