Mkuu,me nimewahi sumbuliwa na kisukari kwa miaka miwili na zaidi, kwa mara ya kwanza nilipoenda kupima nilikutwa na sukari 35 wakati normal ni 3-7, lakini sikuthubutu kutumia dawa za hospital wala kuchoma sindano za kisukari, nilichofanya nilianza mazoezi ya kukimbia, pushup, kutembea sana Kuhakikisha napunguza uzito nilio kuwa nao, pia nilichange system ya kula, nilipunguza kula vyakula vya wanga sana kama ugali wa kukobolewa nikawa nakula dona sana, nikapunguza kula wali, nikila wali nakula mboga majani nyingi sana, maji kwa wingi nikaachana na soda, nikawa nakunywa juice za kutengeneza mwenyewe, sikuwahi tumia tiba mbadala sijui hizo za matapeli tu.. Mkuu baada ya miaka miwili nilipona kabisa kisukari, NARUDIA TENA NILIPONA KABISA KISUKARI, NAKULA NA KUNYWA CHOCHOTE HATA SUKARI NALAMBA BAKULI ZIMA BILA SHIDA NA MIAKA MITANO IMEPITA TOKA NIPONE
MWAMBIA AFANYE MAZOEZI SANA, ATEMBEEE SANA, ACHUNGE MFUMO WA CHAKULA