Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Mkuu,me nimewahi sumbuliwa na kisukari kwa miaka miwili na zaidi, kwa mara ya kwanza nilipoenda kupima nilikutwa na sukari 35 wakati normal ni 3-7, lakini sikuthubutu kutumia dawa za hospital wala kuchoma sindano za kisukari, nilichofanya nilianza mazoezi ya kukimbia, pushup, kutembea sana Kuhakikisha napunguza uzito nilio kuwa nao, pia nilichange system ya kula, nilipunguza kula vyakula vya wanga sana kama ugali wa kukobolewa nikawa nakula dona sana, nikapunguza kula wali, nikila wali nakula mboga majani nyingi sana, maji kwa wingi nikaachana na soda, nikawa nakunywa juice za kutengeneza mwenyewe, sikuwahi tumia tiba mbadala sijui hizo za matapeli tu.. Mkuu baada ya miaka miwili nilipona kabisa kisukari, NARUDIA TENA NILIPONA KABISA KISUKARI, NAKULA NA KUNYWA CHOCHOTE HATA SUKARI NALAMBA BAKULI ZIMA BILA SHIDA NA MIAKA MITANO IMEPITA TOKA NIPONE
MWAMBIA AFANYE MAZOEZI SANA, ATEMBEEE SANA, ACHUNGE MFUMO WA CHAKULA
mkuu nyingine si za kitapeli nasisi tulikuwa nakisukari kama wewe,tukaelekezwa na watu wema.tukatumiana kupona.kimsingi zoezi ni muhimu lakini kuna kipimo cha.uzito ambao huwezi kumudu kufanya zoezi hata la kutembea.je ndo asitumie dawa yoyote ya asili ya vyakula na viungo kuiweka sukari yake sawa?
 
mkuu kuhusu vyakula,matunda na vinywaji asivyo paswa kutumia ni pamoja na-:
WALI
UGALI SEMBE
MKATE MWEUPE
MAKANDE
KEKI
KASHATA
BISKUT ZOZOTE ZILE
VIAZI MVIRINGO
MAZIWA MTINDI NA FRESH
NDIZI MBIVU
NANASI
MACHUNGWA
MACHENZA
TIKITI
CHENZA
EMBE
PAPAI
NYAMA YOYOTE ILE
itaendelea.nasinzia
 
[emoji15] [emoji15] haya lala

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Ha ha ha haya mkuu mwaga shule

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
POA NAENDELA NA ASIVYO PASWA KUTUMIA MWENYE KISUKARI

SODA AINA ZOTE SI ZERO WALA DIET

JUISI ZOT ZA.KIWANDANI

MBOGA ILIYO UNGWA NAZI,MAFUTA
YOYOTE YANAYOGANDA

SIAGI

MAZIWA MTINDI NA FRESH.

ANABYOPASWA KUTUMIA
AINA ZOOTE ZA MBOGA ZA MAJANI ILA.MBOGA BORA ZAIDI NI PAMOJA NA MGAGANI,MHILILE,SPINACHI,MCHICHA,MAJANI YA.MABOGA,KABICHI USIPENDELEE MATEMBELE NA NYANYA NGOGWE SANA,TUMIA PIA BAMIA,BIRINGANYA TANGO
 
Hello Gentleman and ladies Nina ndugu yangu ana kisukari type 2 ambacho kinapanda hadi 17 ,anatumia dawa aina ya metroformin 500mg lakini hazimsaidii ,Kama kuna mtu anayejua Dawa mbadala au ya phamacy naombeni msaada wenu please .
Have a great day you guys.
 
Mwache akae na njaa muda mrefu mpaka ahisi kutetemeka,kisha mpeleke kwenye chcakula chenye harufu nzuri ila akifika pale asile,anywe maji ya uvuguvugu kwa wingi......
sukari lazima itashuka piga ua
na mara nyingine kupona kabisa.
 
Je? nafuata masharti?

Afanye haya
  • Apunguze sana kula wanga. Awe anatumia dona mchele brown ila kwa kiasi kidogo
  • Soda na bia asiguse kabisa.
  • Ale matinda kwa wingi (sio yale yenye sukari sana. Hapa afuate ushauri wa daktari)
  • Anywe maji kwa wingi, sio chini ya lita tatu kwa siku. Na usiku pia awe anakunywa maji kila baada ya kutoka haja ndogo. Kunywa maji mengi yanasaidia ku -dilute sukari mwilini.
  • Awe anafanya mazoezi kila siku. Ahakikishe anaspend dkk 30 kila siku za mazoezi hasa jogging. Mazoezi lazima yawe yakusabaisha moyo kwenda mbio na kutokwa jasho.
Pia majani ya mlonge naskia ni dawa nzuri sana. (google upate njia sahihi ya namna ya kutumia)

Regards
 
Mwache akae na njaa muda mrefu mpaka ahisi kutetemeka,kisha mpeleke kwenye chcakula chenye harufu nzuri ila akifika pale asile,anywe maji ya uvuguvugu kwa wingi......
sukari lazima itashuka piga ua
na mara nyingine kupona kabisa.

Mmh. Hapa utaua mzee. Mtu wa kisukari huwa ile control mechanism inakuwa haifanyi kazi vizuri. Asipokula kabisa anaweza kudondoka maana sukari inashuka mpaka below minimum
 
Hello Gentleman and ladies Nina ndugu yangu ana kisukari type 2 ambacho kinapanda hadi 17 ,anatumia dawa aina ya metroformin 500mg lakini hazimsaidii ,Kama kuna mtu anayejua Dawa mbadala au ya phamacy naombeni msaada wenu please .
Have a great day you guys.
MKUU HUYO MGONJWA HUFANYA MAZOEZI?
HUNYWA MAJI YA KUTOSHA KWA SIKU?
HULA MBOGAMBOGA KAMA NDO MLO MKUU VINGINE NI ZIADA?
JIBU HAYO UELEKEZWE DAWA KULINGANA NA TATIZO LA MGONJWA
 
Pole kwa kuuuguza mgonjwa wako. Ni vizuri uende hospital ili kucheki vizuri mwili kwani kuna vitu vingi vinapandisha sukari kama Malaria,UTI, Typhod n.k. Pia usisahau tiba mbadala mtafute Meja Jenerali Mstaafu Maneno yeye anatibu kabisa hii kitu. Mimi ni shahidi. Mzee huyu anakaa Kunduchi kwa kondo ukimuuliza tu kwa bodaboda watakupeleka kwake Mamba Club.
 
Kama ataweza kutumia tiba mbadala naomba tuwasiliane mi naweza kuishusha mpaka 6 au 7 wasiliana nami kwa 0752097770. Nitakupa siku saba halafu urudi kuwapa mrejesho wanajamvi
 
akishazingatia mlo! chukua bamia 2 au 3 osha vizuri kata vipande 2 au 3 kila bamia, then loweka kwenye glasi ya maji safi ya kunywa. Acha ilowane kati ya masaa 8 hadi 12, halafu mgonjwa awe anakunywa mara 3 kwa siku. Tumia siku 3 hadi 5 mfululizo then njoo tupe mrejesho. Kila la kheri
 
Pole kwa kuuuguza mgonjwa wako. Ni vizuri uende hospital ili kucheki vizuri mwili kwani kuna vitu vingi vinapandisha sukari kama Malaria,UTI, Typhod n.k. Pia usisahau tiba mbadala mtafute Meja Jenerali Mstaafu Maneno yeye anatibu kabisa hii kitu. Mimi ni shahidi. Mzee huyu anakaa Kunduchi kwa kondo ukimuuliza tu kwa bodaboda watakupeleka kwake Mamba Club.
Asante sana mkuu.kama hutojali unaweza kunitumia contact Zake kwa pm mkuu maana hatuko dar mkuu .
Best
Regards
Mgonjwa
 
Back
Top Bottom