Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Hello Gentleman and ladies Nina ndugu yangu ana kisukari type 2 ambacho kinapanda hadi 17 ,anatumia dawa aina ya metroformin 500mg lakini hazimsaidii ,Kama kuna mtu anayejua Dawa mbadala au ya phamacy naombeni msaada wenu please .
Have a great day you guys.

1st choice switch to;
Glucored forte tabs (metformin 500mg/glibenclamide 5mg) kidonge kimoja asubuhi na jioni,kama haijashuka chini ya kumi anywe vidonge viwili asubuhi na kimoja jioni kila baada ya kula.
 
Dawa ambayo inashusha mbona zipo nyingi kama unaijua zambarau chukua kokwa zake zianike kishà zitwange ziwezi unga chemsha maji tia kijiko kimoja kwenye maji yenye uvuguvugu kabla ya kunywa chochote asubuhi kunywa au mda laini mwambie awe anautafuna au mchunga auchemshe anywe maji yake kabla hajanywa chochote asubuhi kama anae mtu yupo uk yapo maji ya naitwa heath water mimi mwenyewe nina deibetic hutumia na hivyo vidogo hutumia hizi nilokwambia 99% Akipenda mungu itashuka mimi yangu hufikia 35 sugar huiteremka hadi 1 nifate in box
 
Je? nafuata masharti?

Afanye haya
  • Apunguze sana kula wanga. Awe anatumia dona mchele brown ila kwa kiasi kidogo
  • Soda na bia asiguse kabisa.
  • Ale matinda kwa wingi (sio yale yenye sukari sana. Hapa afuate ushauri wa daktari)
  • Anywe maji kwa wingi, sio chini ya lita tatu kwa siku. Na usiku pia awe anakunywa maji kila baada ya kutoka haja ndogo. Kunywa maji mengi yanasaidia ku -dilute sukari mwilini.
  • Awe anafanya mazoezi kila siku. Ahakikishe anaspend dkk 30 kila siku za mazoezi hasa jogging. Mazoezi lazima yawe yakusabaisha moyo kwenda mbio na kutokwa jasho.
Pia majani ya mlonge naskia ni dawa nzuri sana. (google upate njia sahihi ya namna ya kutumia)

Regards
Hii ni solution tosha lakini kwa sisi waafrika ni ngumu sana kuifuata.
Nilimjaribisha mama yangu akapigia ndugu zake simu kwamba mie na mke wangu tunamnyanyasa na kumnyima vyakula, nilinyanyua mikono
 
Aungamishe vikojolea saana itamsaidia kuburn excess sugar mwilini na afanye physical exercise
 
DM ni ugonjwa ambao matibabu yake yanategemea sana life style

Hata akipewa dawa gani,kama hafuati masharti sukari haishuki hata kwa nini?

Kabla ya kumuanzishia dawa nyingine,hakikisheni mnafuata ushauri wa daktari hasa kwenye chakula

Pia usichanganye dawa za hospitali na za tiba mbadala
 
Wakuu habar za jioni, naomba msaada iwapo kuna tiba mbadala ya kisukar.
Nina ndugu yangu anaugua alipoenda kupima hospital akaambiwa ni kisukari kipo katika hatua za mwanzo.
Naomba msaada wenu kabla hakijafika hatua nyingine, asanten sana.
Naomba tuwasiliane ninadawa nzuri sana inauwezo wa kumaliza tatizo kabisa ni dawa ya mitishamba au tiba mbadala iko vizuri sana kwenye matatizo hayo.pia tunadawa nzuri ya pressure,moyo mkubwa,kansa, uvimbe tumboni na mengineyo ambayo ni sugu mfano ini;figo;bandama nk
 
Naomba tuwasiliane ninadawa nzuri sana inauwezo wa kumaliza tatizo kabisa ni dawa ya mitishamba au tiba mbadala iko vizuri sana kwenye matatizo hayo.pia tunadawa nzuri ya pressure,moyo mkubwa,kansa, uvimbe tumboni na mengineyo ambayo ni sugu mfano ini;figo;bandama nk 0752097770:
 
Je? nafuata masharti?

Afanye haya
  • Apunguze sana kula wanga. Awe anatumia dona mchele brown ila kwa kiasi kidogo
  • Soda na bia asiguse kabisa.
  • Ale matinda kwa wingi (sio yale yenye sukari sana. Hapa afuate ushauri wa daktari)
  • Anywe maji kwa wingi, sio chini ya lita tatu kwa siku. Na usiku pia awe anakunywa maji kila baada ya kutoka haja ndogo. Kunywa maji mengi yanasaidia ku -dilute sukari mwilini.
  • Awe anafanya mazoezi kila siku. Ahakikishe anaspend dkk 30 kila siku za mazoezi hasa jogging. Mazoezi lazima yawe yakusabaisha moyo kwenda mbio na kutokwa jasho.
Pia majani ya mlonge naskia ni dawa nzuri sana. (google upate njia sahihi ya namna ya kutumia)

Regards
What a contradiction apunguze sana kula wanga then awe anakula dona ? Basi mwambie ale wanga wenye fibre nyingi kitu ambacho sio tiba anyway
Aondoe wanga na sukari kwenye mlo wake japo kwa wiki Tatu huku akiongeza intake ya mafuta mazuri na protein kidogo. Wanga na starch ni pamoja na vile vya kwenye matunda.matunda abaki na parachichi na Tango

Then

Lete mrejesho
 
Mleta mada amemaanisha dawa itakayoleta relief katika critical stage, hayo mazoezi ni hatua ya baadae hali ikiwa stable.
Atafune majani mateke ya maenbe majani kama 6 au ayaponde na kuyaloweka all night long then anywe hiyo juice
 
Kwanza Natanguliza shukrani zangu kwenu kwa jinsi mlivyotoa ushaurii nasaha bila kumkwaza mgonjwa wangu mbarikiwe sana sana .Jana ndio ameanza Ile dose ya bamia ,Ndugu zanguni embu tupeni two weeks tulete marejesho ndugu zanguni ,Asanteni sana naomba muendeelee na ushaurii bila kukoma ,.Kwa Tanzania bila ugali na wali utakula nini jamani ,kwa ukweli ameacha sembe sasa anakula Donna .na mboga za Majani ,
 
What a contradiction apunguze sana kula wanga then awe anakula dona ? Basi mwambie ale wanga wenye fibre nyingi kitu ambacho sio tiba anyway
Aondoe wanga na sukari kwenye mlo wake japo kwa wiki Tatu huku akiongeza intake ya mafuta mazuri na protein kidogo. Wanga na starch ni pamoja na vile vya kwenye matunda.matunda abaki na parachichi na Tango

Then

Lete mrejesho

No contradiction hapo!

Yes anatakiwa apunguze wanga sio kuacha kabisa. Na hicho kidogo atakachokula ale dona! Wanga una umuhimu wake mwilini.
 
Hii ni solution tosha lakini kwa sisi waafrika ni ngumu sana kuifuata.
Nilimjaribisha mama yangu akapigia ndugu zake simu kwamba mie na mke wangu tunamnyanyasa na kumnyima vyakula, nilinyanyua mikono

hahahaha Pole sana ndugu. Elimu ya lishe ni ngumu sana. Watu ni weupe hasa kweynye hili swala
 
Hello Gentleman and ladies Nina ndugu yangu ana kisukari type 2 ambacho kinapanda hadi 17 ,anatumia dawa aina ya metroformin 500mg lakini hazimsaidii ,Kama kuna mtu anayejua Dawa mbadala au ya phamacy naombeni msaada wenu please .
Have a great day you guys.
Vema zaidi ujue kama alipata elimu ya fya kwa mtu mwenye tatizo la kisukali,nikiwa na maana ya "good eating habit",unachotakiwa kujua ni kuwa utaratibu zote za mashariti ya chakula anazifuata na alifundishwa vizuri hospital baada ya kugundulika ana hilo tatizo,maana sukari inatoka kwenye vyanzo vya pembeni "exogenous source" kama vile chakula na mwili hauwezi kuitumia kwa ukamilifu kulingana na ugonjwauliopo mwilini .
Dawa anaweza kutumia ni "Gemer 1(metformin 500mg+Glimepride 1mg),au Gemer 2(metformin 500mg+Glimepride 2mg),lakini pia anaweza kutumia Metformin + Glibenclamide kwa dose kubwa kulingana na "response" ya mgonjwa kadri Daktari atakavyoona inafaa.
 
Ubarikiwe .unajua unachoongea mkuu wangu .
 
Back
Top Bottom