trust112
Senior Member
- Feb 3, 2014
- 194
- 139
Hello Gentleman and ladies Nina ndugu yangu ana kisukari type 2 ambacho kinapanda hadi 17 ,anatumia dawa aina ya metroformin 500mg lakini hazimsaidii ,Kama kuna mtu anayejua Dawa mbadala au ya phamacy naombeni msaada wenu please .
Have a great day you guys.
1st choice switch to;
Glucored forte tabs (metformin 500mg/glibenclamide 5mg) kidonge kimoja asubuhi na jioni,kama haijashuka chini ya kumi anywe vidonge viwili asubuhi na kimoja jioni kila baada ya kula.