Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Mimi nina kisukari natumia metformin. Nafuata diet,ninaamini nitaishi na kuona watoto wa vitukuu wangu. Achana na dawa za kienyeji. Usiwasikilize hawa wauza madawa yasiyopimwa viwango. Utaua figo zako bure.
vipi,ulikuwa hufanyi mazoezi??
 
Asante sana ndugu kwa kunishauri, nipo mkoani.
Hapa nmetoka hospital nna siku tatu, nililazwa kwa mda wa mwezi mzima, hivyo nimetoka kutumia insulin na kuja kwenye vidonge.
Binafsi naona ina shuka sasa, japo nahitaji zaidi kuishusha.
mkuu vipi ulikuwa hufanyi mazoezi??
 
Mi bonge nina 130+ kg na siwezi kuacha kula nyama choma na makange so nasubiri hayo masukari na mamoyo yanikamate niumwe nife niwapishe. Hata kuoa sitaki nisije kumtesa binti wa watu aniuguzeee afu nife.

Kwani kuna more dead na less dead? Dead is dead tu. The only thing I wish for is as little pain as possible.

Kuna kitu kinaitwa natural selection kama hujapewa genes za kukuwezesha kuishi maisha marefu hapa duniani usiforce kingi, life fucked you from the get-go so deal with it. Zamani watu walikuwa wakiumwa wanakufa sisi ndio tunakuwa wabishi
 
ubonge wa asili au
 
Hoja za msingi zipi? Hizi za kukukatalia kuwa usiwadanganye Watanzania kuhusu kisukari ndio mhimu,au ulitaka tukupongeze kwa uongo wako?Wasomaji karibu wote wamekugomea sio mimi tu.Kama wewe ni mtaalamu wa nutrition basi elimisha juu ya hayo unayoyajua.Pumba zangu ziko wapi au ndo zako unataka kunirushia mimi?Usitapetape kasome kwanza.
kama hoja zake ni za uongo,weka hoja zako za ukweli
 
wapi wanapima au mpaka hospital,ila mimi mwembamba kabisa,hivi inawezekana kea mtu mwembamba kupata kisukari
Wanapima hospital. Watakupa maelekezo. Maana unatakiwa uwe umefunga masaa kadhaa ili waone. How insulin yako inafanya kazi.
 
Mimi nina kisukari natumia metformin. Nafuata diet,ninaamini nitaishi na kuona watoto wa vitukuu wangu. Achana na dawa za kienyeji. Usiwasikilize hawa wauza madawa yasiyopimwa viwango. Utaua figo zako bure.
Napenda kushuhudia kwamba nimepona kisukari kwa dozi ya siku 21. Apendaye na aamini. Hii ni MIMI MWENYEWE nafanya hivi ili kusaidia wengine wenye tatizo hilo
 
- Ni vyema ukafika hospitali, kama uko Dar nenda amana kuna dakitari mzuri wa kisukari , 18 - 20 ni kiasi kikubwa sana.
- Kuna uwezekano akakubadilishia dawa, ili kushusha na kuhakikisha haipandi kiasi hicho na kutoa ushauri zaidi jinsi ya kukabiliana na kisukari.
- Siku ya kliniki ya sukari Amana ni siku ya Jumatatu na Alhamisi.
Hakika umenipa moyo, nilikata tamaa juu ya huu ugonjwa. Kwasasa natumia metfomin, pia nmeanza diet, natumia ugali wa ngano nyeus, mkate wa ngano nyeusi kwa wanga, mboga za majani ndiyo chakula changu. Japo sukari kwasasa leo ipo juu sana. 18 hapo nilipima kabla sijala baada ya kula 20.5. Hakika itashuka
Nilipata sukari ghafla ikawa inasoma mpaka 33. Lakini napenda kuwashirikisha kuwa nimepona kwa tiba mbadala sasa nina miezi miwili naishi kawaida kabisa.
 
Napenda kushuhudia kwamba nimepona kisukari kwa dozi ya siku 21. Apendaye na aamini. Hii ni MIMI MWENYEWE nafanya hivi ili kusaidia wengine wenye tatizo hilo
Dozi inaitwa nani ?
 
Back
Top Bottom