Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,935
mkuu una kisukari??Wagonjwa wa kisukari njooni tujifunze, make huu ugonjwa ni tishio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu una kisukari??Wagonjwa wa kisukari njooni tujifunze, make huu ugonjwa ni tishio
vipi,ulikuwa hufanyi mazoezi??Mimi nina kisukari natumia metformin. Nafuata diet,ninaamini nitaishi na kuona watoto wa vitukuu wangu. Achana na dawa za kienyeji. Usiwasikilize hawa wauza madawa yasiyopimwa viwango. Utaua figo zako bure.
mkuu vipi ulikuwa hufanyi mazoezi??Asante sana ndugu kwa kunishauri, nipo mkoani.
Hapa nmetoka hospital nna siku tatu, nililazwa kwa mda wa mwezi mzima, hivyo nimetoka kutumia insulin na kuja kwenye vidonge.
Binafsi naona ina shuka sasa, japo nahitaji zaidi kuishusha.
hivi Dr Sebi alitoa dawa ya ukimwi??Ndio kaka Dr.Sebi ni Mwalim wangu wa Dawa za Asili.
ubonge wa asili auMi bonge nina 130+ kg na siwezi kuacha kula nyama choma na makange so nasubiri hayo masukari na mamoyo yanikamate niumwe nife niwapishe. Hata kuoa sitaki nisije kumtesa binti wa watu aniuguzeee afu nife.
Kwani kuna more dead na less dead? Dead is dead tu. The only thing I wish for is as little pain as possible.
Kuna kitu kinaitwa natural selection kama hujapewa genes za kukuwezesha kuishi maisha marefu hapa duniani usiforce kingi, life fucked you from the get-go so deal with it. Zamani watu walikuwa wakiumwa wanakufa sisi ndio tunakuwa wabishi
Asili kidogo, ila na kula kumechangia mkuu.ubonge wa asili au
kama hoja zake ni za uongo,weka hoja zako za ukweliHoja za msingi zipi? Hizi za kukukatalia kuwa usiwadanganye Watanzania kuhusu kisukari ndio mhimu,au ulitaka tukupongeze kwa uongo wako?Wasomaji karibu wote wamekugomea sio mimi tu.Kama wewe ni mtaalamu wa nutrition basi elimisha juu ya hayo unayoyajua.Pumba zangu ziko wapi au ndo zako unataka kunirushia mimi?Usitapetape kasome kwanza.
Ndio alitoa Dawa ya ukimwi Dr.Sebi na amewatibu watu wengi sana.hivi Dr Sebi alitoa dawa ya ukimwi??
Kapime glucose kwenye damu.hizi siku mbili tatu nasikia kiu ya ajabu,ndo dalili nini?
Wanapima hospital. Watakupa maelekezo. Maana unatakiwa uwe umefunga masaa kadhaa ili waone. How insulin yako inafanya kazi.wapi wanapima au mpaka hospital,ila mimi mwembamba kabisa,hivi inawezekana kea mtu mwembamba kupata kisukari
Napenda kushuhudia kwamba nimepona kisukari kwa dozi ya siku 21. Apendaye na aamini. Hii ni MIMI MWENYEWE nafanya hivi ili kusaidia wengine wenye tatizo hiloMimi nina kisukari natumia metformin. Nafuata diet,ninaamini nitaishi na kuona watoto wa vitukuu wangu. Achana na dawa za kienyeji. Usiwasikilize hawa wauza madawa yasiyopimwa viwango. Utaua figo zako bure.
- Ni vyema ukafika hospitali, kama uko Dar nenda amana kuna dakitari mzuri wa kisukari , 18 - 20 ni kiasi kikubwa sana.
- Kuna uwezekano akakubadilishia dawa, ili kushusha na kuhakikisha haipandi kiasi hicho na kutoa ushauri zaidi jinsi ya kukabiliana na kisukari.
- Siku ya kliniki ya sukari Amana ni siku ya Jumatatu na Alhamisi.
Nilipata sukari ghafla ikawa inasoma mpaka 33. Lakini napenda kuwashirikisha kuwa nimepona kwa tiba mbadala sasa nina miezi miwili naishi kawaida kabisa.Hakika umenipa moyo, nilikata tamaa juu ya huu ugonjwa. Kwasasa natumia metfomin, pia nmeanza diet, natumia ugali wa ngano nyeus, mkate wa ngano nyeusi kwa wanga, mboga za majani ndiyo chakula changu. Japo sukari kwasasa leo ipo juu sana. 18 hapo nilipima kabla sijala baada ya kula 20.5. Hakika itashuka
Dozi inaitwa nani ?Napenda kushuhudia kwamba nimepona kisukari kwa dozi ya siku 21. Apendaye na aamini. Hii ni MIMI MWENYEWE nafanya hivi ili kusaidia wengine wenye tatizo hilo
dozu gani??
Hiyo ni tiba mbadala wakuu, sio hospitali.Dozi inaitwa nani ?
Naam, sio sana. Lakini ndani ya wiki mbili nilikuwa kama sindano na nilielekea kupoteza uwezo wa kuona. Kusoma maandishi ilishashindikana kabisa, lakini sasa sina tatizo hiloulikuwa mnene?
Yes. Ninatumia metformin miezi mitano sasa. Na juzi nimepima HbA1c ni 6.5%.Iam happy ninaishi nimekubali hali maisha yanakwenda.Ulicomfirm kama ni DM?
Yes. Ninatumia metformin miezi mitano sasa. Na juzi nimepima HbA1c ni 6.5%.Iam happy ninaishi nimekubali hali maisha yanakwenda.
Dawa zimesaidia.HbA1C inaonesha ipo well controlled, pole sana aseeeh.