Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Kwenye hicho kitabu alisema fasting ya siku 90 inamaliza magonjwa yote. Katika hizo siku 90 kunywa maji tu.

Nilijaribu masaa 12 nilianza kuiona harusi ya wazazi wangu kama video huku tumbo na ubongo vikikosa ushirikiano.
yani maji ya maji tuu, bila chakula kabisa kwa 90, si nitakufa au vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa masaa 24 ya kwanza mwili unatumia glucose iliyohifadhiwa kwenye ini. Kichwa kitauma sana.

Baada ya hapo mwiliunaanza kula akiba ya kwenye muscles. Ubongo unahitaji glucose na oxygen 24/7
Sasa ukipiga hizo siku 90 si ndio utabaki mifupa tu.

Maana hapo carbohydrates, proteins na lipids respectively zitakuwa utilised.
 
Sasa ukipiga hizo siku 90 si ndio utabaki mifupa tu.

Maana hapo carbohydrates, proteins na lipids respectively zitakuwa utilised.
Yaa baada ya hapo hata digestion system itabidi iende rehabilitations maana itakuwa imesahau kazi
 
Kwenye hicho kitabu alisema fasting ya siku 90 inamaliza magonjwa yote. Katika hizo siku 90 kunywa maji tu.

Nilijaribu masaa 12 nilianza kuiona harusi ya wazazi wangu kama video huku tumbo na ubongo vikikosa ushirikiano.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka kwa sauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madai tu hayatoshi, tafiti hupingwa kwa tafiti.
Wanatafiti, wengi ni maprofessor na madaktari siyo layman... wana tafiti zao na bado wanaendelea kufanya tafiti na wana vituo vya tiba mbadara kwa watu wenye magonjwa hayo.
Na sasa wanatengeneza online system ambazo watakuwa wana share data za matokeo ya tiba zao
 
Kama wanasayansi, kuna platform yao ya kuchapisha tafiti hizo.

Kama zina maelezo ya kutosha ya Kisayansi, zinaweza kuwa mafundisho na maelezo rasmi.

Kwanini hawafanyi hivyo na badala yake wanazungukazunguka uchochoroni kupinga mafundisho rasmi ya Kisayansi?
 
Noma sana!
Rafiki yangu alikwenda India kwa mwezi mmoja. Kufika kule alikuta vegeterian meals ndiyo mpango mzima. Aliamua kuwa vegetarians kwa siku 30.

Aliporudi home walichinja kuku waka banika na pilau ya ng’ombe mazaga zaga kama yote. Anasema usiku alipata shida sana tumbo lilianza tena ku digest nyama.
 
Hahaha...

Angewapa taarifa mapema kuwa yeye na nyama ndio basi tena, ameamua kuachana nazo.

Au hakuwa ameamua kuendeleza hiyo lifestyle mpya?
 
Kama wanasayansi, kuna platform yao ya kuchapisha tafiti hizo.

Kama zina maelezo ya kutosha ya Kisayansi, zinaweza kuwa mafundisho na maelezo rasmi.

Kwanini hawafanyi hivyo na badala yake wanazungukazunguka uchochoroni kupinga mafundisho rasmi ya Kisayansi?
Wana vitabu na tafiti zao. Natamani ungekuwa umeona na kusoma ninachoeleza huenda ungeelewa maana it seema labda unafahamu zaidi mambo ya afya mimi ni layman nilichokuwa nafanya ni kuedit na kusync subtitles kwenye videos zitakazotumika kwenye hiyo summit
 
Ooh! Fine, Mkuu.
 
Hivi karibuni nimekuwa nikifanya kazi fulani inayohusiana na kongamano lijulikanalo kama Get Your Sugar Off Summit ambalo hufanyika mara moja kwa mwaka huko US na Canada.

Wakati nikipitia videos na documents zao zitakazotumika katika hilo kongamano, nilishangaa kuona wao wanapingana kuhusu mambo mengi ambayo tunayaamini mfano.

Wanadai chorestol ni nzuri kwa ajili ya ubongo hubongo unahitaji cholestorol.

Wanadai njia mojawapo ya kupambana na cancer na bacteria ni kuacha kutumia sukari maana wale vijidudu wanapenda sana sukari ili kuishi.

Wanadai Wali ni mbaya sana kwasababu una gluten

Wanadai vyakula vingi vinavyosemekana havina gluten vina gluten

Wanadai nyama ni nzuri sana hata ama ni nyama nyekundu haina madhara kwa mwili ni uongo tu wa madaktari.

Wanadai madawa mengi na magonjwa mengi tunayoambiwa yapo ni uongo wa viwanda vya kubuni madawa ili wapige ela na madawa yao ndiyo yanatufanya tuwe wagonjwa wametaja baadhi ya magonjwa.

Wanadai Round Up ni dawa mbaya sana na kumbe ulikuwa ugunduzi wa bahati mbaya maana mwanzo ilitengenezwa kwa ajili ya kusafishia mifumo ya mabomba ya viwanda ila ikagundulika haifai inaharifu mfumo wenyewe ila inaua magugu ndipo ikabadirishiwa kazi

Wanadai mbeleni matibabu yatakuwa yanafanyika kwa njia ya mwanga na sauti tu.

Kuna matibabu ya akili yanatumia frequency za sauti flani kutibu magonjwa ya ubongo.

Kwa mara ya kwanza nimejua matumizi ya kile kimfuko cha apendex, kwa madai yao ni kwamba kinatumika ku squeeze pancrease ili irelease insulin.

Kuna mambo mengi yamezungumzwa na kuna na research wanaendelea kuzifanya kuhusu magonjwa mbalimbali kama cancer, diabetes, Alzahemer, Stroke na mengine mengi.
Mkuu Ni kweli wanayoyasema ila moja tu hapo sikubaliani nalo ni > (Wanadai nyama ni nzuri sana hata ama ni nyama nyekundu haina madhara kwa mwili ni uongo tu wa madaktari.) Nyama nyekundu ina madhara kwa Afya ya binadamu haifai kuliwa na wala mchele na muhogo Vina sumu ya (cyanide) inayo haribu ubongo.

Cyanide poisoning
Cyanide poisoning is poisoning that results from exposure to a number of forms of cyanide.[4] Early symptoms include headache, dizziness, fast heart rate, shortness of breath, and vomiting.[2] This may then be followed by seizures, slow heart rate, low blood pressure, loss of consciousness, and cardiac arrest.[2] Onset of symptoms is usually within a few minutes.[2][3] If a person survives, there may be long-term neurological problems.[2]

Toxic cyanide-containing compounds include hydrogen cyanide gas and a number of cyanide salts.[2] Poisoning is relatively common following breathing in smoke from a house fire.[2] Other potential routes of exposure include workplaces involved in metal polishing, certain insecticides, the medication nitroprusside, and certain seeds such as those of apples and apricots.[3][7][8] Liquid forms of cyanide can be absorbed through the skin.[9] Cyanide ions interfere with cellular respiration, resulting in the body's tissues being unable to use oxygen.[2]

Diagnosis is often difficult.[2] It may be suspected in a person following a house fire who has a decreased level of consciousness, low blood pressure, or high blood lactate.[2] Blood levels of cyanide can be measured but take time.[2] Levels of 0.5–1 mg/L are mild, 1–2 mg/L are moderate, 2–3 mg/L are severe, and greater than 3 mg/L generally result in death.[2]

If exposure is suspected, the person should be removed from the source of exposure and decontaminated.[3] Treatment involves supportive care and giving the person 100% oxygen.[2][3] Hydroxocobalamin (vitamin B12a) appears to be useful as an antidote and is generally first-line.[2][6] Sodium thiosulphate may also be given.[2] Historically cyanide has been used for mass suicide and by the Nazis for genocide.[3] Cyanide poisoning - Wikipedia

OTHER CYANIDE SOURCES.jpg
 
Nilisoma kitabu cha Dr Sebi (RIP) anasema fasting is the best cure. Chakula unachokula na bacteria pamoja na virus wanakula hicho hicho.
Mkuu kumbe una mkubali RIP Dr Sebi Mwalimu wangu wa Tiba za Asili?ukimsoma RIP DR.SEbi utajifunza mengi sana ambayo hata Ma-Daktari wetu hawajuwi hayo utakayo jifunza toka kwa DR.SEBI Hongera Dada.
 
mKUU kumbe una mkubali RIP Dr Sebi Mwalimu wangu wa Tiba za Asili?ukimsoma RIP DR.SEbi utajifunza mengi sana ambayo hata Ma-Daktari wetu hawajuwi hayo utakayo jifunza toka kwa DR.SEBI Hongera Dada.
Nini kilimuua yeye
 
Nini kilimuua yeye
Wamarekani wali muuwa kwa kumtilia sumu kwenye chakula huku akiwa kwenye kziuzi cha polisi nchini kwake honduras . Wa-Marekani aka Ma-FreeMason walimuuwa Dr.Sebi eti kwanini anatibu maradhi yote sugu Duniani Ukimwi,kisukari, Hepatitis B Virusi,Maradhi ya Saratani, Maradhi ya kupooza mwili aka Stroke Na Maradhi yote ya Virus. Walimuonya asiwatibiwe watu lakini marehemu aliwapuuza ndipo walipo muuwa RIP DR SEBI hao Ma-FreeMason. Walimuuwa kwa sababu wanasema eti Dr .Sebi anawaharibia biashara yao ya kuuza Vidonge ambavyo haviwezi kutibu hayo maradhi niliyo yatja hapo juu.Dr.Sebi amekuja kuwaamsha watu tulio lala tunaofikiria eti ukiumw aukienda hospitali dwa z kizungu ana vidonge vitakuponyesha wakati haviwezi kukuponyesha maradhi yoyote yale.Ni Biashara ya wazungu kuuza vidıonge utatumia vidonge mpaka kufa huwezi kupona maradhi yoyote yale.

Wenye diabetes tujikinge zaidi kipindi hiki cha Coronavirus,maana sisi tupo kwenye kundi la kuwa weak baada ya kirusi kuingia kwenye mwili. Though Dr wangu aliniambia im still young immunity itambana sio sawa na mtu mzee mwenye diabetes ila still aliniambia nijikinge. Hivyo tujikinge. Tuepuke misongamano. Mfano leo pasaka hata kanisani sijakwenda.
 
Ndiyo kunguru mwoga hukimbiza bawa lake.Mzee wangu anasalia nyumbani hata Ijumaa hakwenda.
 
Wenye diabetes tujikinge zaidi kipindi hiki cha Coronavirus,maana sisi tupo kwenye kundi la kuwa weak baada ya kirusi kuingia kwenye mwili. Though Dr wangu aliniambia im still young immunity itambana sio sawa na mtu mzee mwenye diabetes ila still aliniambia nijikinge. Hivyo tujikinge. Tuepuke misongamano. Mfano leo pasaka hata kanisani sijakwenda.

Poleni sana..na wenye pumu tujikinge jamani🤧
 
Back
Top Bottom