Hivi karibuni nimekuwa nikifanya kazi fulani inayohusiana na kongamano lijulikanalo kama Get Your Sugar Off Summit ambalo hufanyika mara moja kwa mwaka huko US na Canada.
Wakati nikipitia videos na documents zao zitakazotumika katika hilo kongamano, nilishangaa kuona wao wanapingana kuhusu mambo mengi ambayo tunayaamini mfano.
Wanadai chorestol ni nzuri kwa ajili ya ubongo hubongo unahitaji cholestorol.
Wanadai njia mojawapo ya kupambana na cancer na bacteria ni kuacha kutumia sukari maana wale vijidudu wanapenda sana sukari ili kuishi.
Wanadai Wali ni mbaya sana kwasababu una gluten
Wanadai vyakula vingi vinavyosemekana havina gluten vina gluten
Wanadai nyama ni nzuri sana hata ama ni nyama nyekundu haina madhara kwa mwili ni uongo tu wa madaktari.
Wanadai madawa mengi na magonjwa mengi tunayoambiwa yapo ni uongo wa viwanda vya kubuni madawa ili wapige ela na madawa yao ndiyo yanatufanya tuwe wagonjwa wametaja baadhi ya magonjwa.
Wanadai Round Up ni dawa mbaya sana na kumbe ulikuwa ugunduzi wa bahati mbaya maana mwanzo ilitengenezwa kwa ajili ya kusafishia mifumo ya mabomba ya viwanda ila ikagundulika haifai inaharifu mfumo wenyewe ila inaua magugu ndipo ikabadirishiwa kazi
Wanadai mbeleni matibabu yatakuwa yanafanyika kwa njia ya mwanga na sauti tu.
Kuna matibabu ya akili yanatumia frequency za sauti flani kutibu magonjwa ya ubongo.
Kwa mara ya kwanza nimejua matumizi ya kile kimfuko cha apendex, kwa madai yao ni kwamba kinatumika ku squeeze pancrease ili irelease insulin.
Kuna mambo mengi yamezungumzwa na kuna na research wanaendelea kuzifanya kuhusu magonjwa mbalimbali kama cancer, diabetes, Alzahemer, Stroke na mengine mengi.
Mkuu Ni kweli wanayoyasema ila moja tu hapo sikubaliani nalo ni
> (Wanadai nyama ni nzuri sana hata ama ni nyama nyekundu haina madhara kwa mwili ni uongo tu wa madaktari.) Nyama nyekundu ina madhara kwa Afya ya binadamu haifai kuliwa na wala mchele na muhogo Vina sumu ya (cyanide) inayo haribu ubongo.
Cyanide poisoning
Cyanide poisoning is
poisoning that results from exposure to a number of forms of
cyanide.
[4] Early symptoms include
headache,
dizziness,
fast heart rate,
shortness of breath, and vomiting.
[2] This may then be followed by
seizures,
slow heart rate,
low blood pressure, loss of consciousness, and
cardiac arrest.
[2] Onset of symptoms is usually within a few minutes.
[2][3] If a person survives, there may be long-term neurological problems.
[2]
Toxic cyanide-containing compounds include
hydrogen cyanide gas and a number of cyanide
salts.
[2] Poisoning is relatively common following breathing in smoke from a
house fire.
[2] Other potential routes of exposure include workplaces involved in
metal polishing, certain
insecticides, the medication
nitroprusside, and certain seeds such as those of apples and apricots.
[3][7][8] Liquid forms of cyanide can be absorbed through the skin.
[9] Cyanide
ions interfere with
cellular respiration, resulting in the body's tissues being unable to use
oxygen.
[2]
Diagnosis is often difficult.
[2] It may be suspected in a person following a house fire who has a decreased
level of consciousness, low blood pressure, or high
blood lactate.
[2] Blood levels of cyanide can be measured but take time.
[2] Levels of 0.5–1 mg/L are mild, 1–2 mg/L are moderate, 2–3 mg/L are severe, and greater than 3 mg/L generally result in death.
[2]
If exposure is suspected, the person should be removed from the source of exposure and
decontaminated.
[3] Treatment involves
supportive care and giving the person 100% oxygen.
[2][3] Hydroxocobalamin (vitamin B12a) appears to be useful as an
antidote and is generally first-line.
[2][6] Sodium thiosulphate may also be given.
[2] Historically cyanide has been used for mass
suicide and by the
Nazis for
genocide.
[3] Cyanide poisoning - Wikipedia