Pole sana kiongozi, Kisukari ni chronic illness, na haina tiba yakuondosha ugonjwa mmoja kwa mmoja ila kuna dawa za kumaintain certain level za sukari mwilini.
Itakua vizuri ukisema hili tatizo umelipata muda gani, je umezaliwa nalo au umelipatia ukubwani. Hivi vitu vitasaidia kujua dawa ya kutumia kwa sababu zinatafautiana pia.
Mbali na matumizi ya dawa mgonjwa wa kisukari anashauriwa kufata chakula maalumu (diabetic plate), mazoez angalau kwa dakika 30 yatakayokutoa majasho.
kwa uchache.
Sent using
Jamii Forums mobile app