Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Nimekuelewa vizuri mkuu, ila unaposema plan B maana yake aache plan A sababu imeshindwa.

Kuhusu kanisani mengi ya makanisa akienda ataambiwa aache dawa na kutegemea maombi.

Sijajua hao walioponea kanisani kama waliacha dawa au waliendelea kutumia dawa na maombi.
Aendelee kufanyiwa matibabu hospitalini au kwa daktari wake at the same time aendeelee pia kutafuta uponyaji kwa Mungu (kanisani au kwa mtumishi SAHIHI wa MUNGU) baada ya mda itamlazimu apime kwa daktari ili athibitishe kua ugonjwa umeondoka au haupo tena. eg kwa wale wa kristo,

Yesu alipowaponya wale watu wenye ukoma na kuwaambia waende wakajionyeshe kwa makuhani wao. Kumbuka kipindi kile wenye ukoma walikua hawachangamani na watu wazima (walikuwa wanatengwa) na makuhani ndio waliokua wanathibisha kama umepona ukoma au la na kama wakithibitisha kua umepona ukoma ndipo walikua wanakupa idhini ya kuchangamana na wengine, ndio logic ya Yesu kusema mkajioneshe kwa makuhani. KIUFUPI, Yesu alikua anaponya ukoma ila waliokua wanathibitisha kua umepona ni Makuhani na sio Yesu.

Anayetakiwa akuambie uache dawa ni daktari na sio kanisa. Binafsi nimepona hiv, nkitulia siku ntaweka mkasa mzima ili watu waweze jifunza jambo
 
Aendelee kufanyiwa matibabu hospitalini au kwa daktari wake at the same time aendeelee pia kutafuta uponyaji kwa Mungu (kanisani au kwa mtumishi SAHIHI wa MUNGU) baada ya mda itamlazimu apime kwa daktari ili athibitishe kua ugonjwa umeondoka au haupo tena. eg kwa wale wa kristo, Yesu...

Kama kweli ulipona HIV ni bra uweke mkasa wako wengi wajifunze.

Hongera sana kwa kupona mkuu
 
Habari Leo wadau naomba msaada as wadau kuhusu ugonjwa kisukari.nimeangaika kila kona nimekunywakaribu dawa nyingi na nimetumia hela nyingi sana mpk sasa nimekata tamaa naona nasubiri tu kudra za mungu manake hela tena sina sukari ipo juu kushuka ni mpk dawaza hospital inashuka kidogo tu.naomba msaada jamani sukari inanitesa nimeisha nimebaki skeleton
Mkuu pole kwa kuhangaika na kujitibia Maradhi yako ya Kisukari nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona maradhi yako kwa muda wamiezi 2 utapona kwakutumia dawa zangu.



 
Pole sana kiongozi, Kisukari ni chronic illness, na haina tiba yakuondosha ugonjwa mmoja kwa mmoja ila kuna dawa za kumaintain certain level za sukari mwilini.

Itakua vizuri ukisema hili tatizo umelipata muda gani, je umezaliwa nalo au umelipatia ukubwani. Hivi vitu vitasaidia kujua dawa ya kutumia kwa sababu zinatafautiana pia.

Mbali na matumizi ya dawa mgonjwa wa kisukari anashauriwa kufata chakula maalumu (diabetic plate), mazoez angalau kwa dakika 30 yatakayokutoa majasho.

kwa uchache.

Sent using Jamii Forums mobile app
nina miaka 6 now
 
Pole sana kiongozi, Kisukari ni chronic illness, na haina tiba yakuondosha ugonjwa mmoja kwa mmoja ila kuna dawa za kumaintain certain level za sukari mwilini.

Itakua vizuri ukisema hili tatizo umelipata muda gani, je umezaliwa nalo au umelipatia ukubwani. Hivi vitu vitasaidia kujua dawa ya kutumia kwa sababu zinatafautiana pia...
Miaka 6 now
 
Nilipogundulika nina diabetes nilichanganyikiwa na masharti mengi niliyoelezwa na madaktari na watu wengine kuhusu kula mpaka nilipoelekezwa na doctor mmoja kuwa naweza kula vyakula vya kawaida lakini badala ya kula milo 3 mikubwa nile milo 5 midogo kwa siku,mafuta yanayokatazwa ni yanayotokana na wanyama,kijiko 1-2 cha mafuta yoyote ya mimea ni nzuri...
Pole
 
Back
Top Bottom