Mlenge
R I P
- Oct 31, 2006
- 2,125
- 2,306
Ukiacha dawa za hospitali, tafadhali kama kuna aneyejua au anayeweza kutibu kisukari, naombeni msaada.
Juisi ya mchicha mbichi imetajwa kusaidia baadhi ya watu: Kushusha Sukari Kienyeji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiacha dawa za hospitali, tafadhali kama kuna aneyejua au anayeweza kutibu kisukari, naombeni msaada.
Sawa mkuu mtu mwenye 8.2 mmol/litre, akitymia vyakuwa stahiki inaweza kushuka??3.9-5.6mmol/L...!! Hii ndio range ya kawiada.
Sawa mkuu mtu mwenye 8.2 mmol/litre, akitymia vyakuwa stahiki inaweza kushuka??
Sawa mkuu mtu mwenye 8.2 mmol/litre, akitymia vyakuwa stahiki inaweza kushuka??
Mkuu naomba unitajie baadh ya vyakula ambavyo sipaswi kutymia kutokana na kisukari.Inashuka fresh nilikuwa na 8 kwa sasa inacheza 4-5.5 ni Ku balance vyakula tu, sili wanga wala kitu chochote cha sukari na nakula mara 2 kwa siku tu. Nina mwaka wa 3 sasa inacheza hapo hapo, cheki kitabu cha mbongo kinauzwa 20,000 sayansi ya mapishi cha boazmkumbo
Mkuu naomba unitajie baadh ya vyakula ambavyo sipaswi kutymia kutokana na kisukari.
Mkuu naomba unitajie baadh ya vyakula ambavyo sipaswi kutymia kutokana na kisukari.
Ahsante sana kiongoz siko dar es salaam,Kama upo dar es salaam kuna kitabu kinauzwa kama 20,000 kilinipa mwongozo wa chakula na wanatuma. Kisukari sio ugonjwa wa mateso kama watu wanavyofikiri , ni vile unavyouchukulia tu. Uzuri wake kuna vyakula vingi unaruhusiwa kula kuliko ambavyo hurusiwi....
Mkuu naomba unitajie baadh ya vyakula ambavyo sipaswi kutymia kutokana na kisukari.
Ahsante sana kiongoz siko dar es salaam,
Naomba kuuliza mfano dagaa, matumiz ya nazi, maharagwe, na mboga jamii ya kunde ni salama kutumia??
Ahsante kiongoz wanguDagaa.... Kula mpaka ugare gare haipandishi sukari.....
Nashukur sana kiongoz VP chai inaruhusiwa au nitumie uji tuu na chumviDagaa.... Kula mpaka ugare gare haipandishi sukari
Matumizi ya nazi...... Ndiyo mazuri zaidi hayana chemicals..
Nashukur sana kiongoz VP chai inaruhusiwa au nitumie uji tuu na chumvi
Nashukur sana kiongoz VP chai inaruhusiwa au nitumie uji tuu na chumvi
Ok.sawa kwahyo mfano uji wa dona, au ugali wa dona ndio mzurUji ni hatari ni wanga huo unapandisha sukari, wanga unatakiwa uachane nayo kabisa. Chai kunywa bila sukari wala asali.
Sup ya nyama nyekundu au nyeupeAsubuhi kunywa supu, mboga za majani na parachichi 1
Ok.sawa kwahyo mfano uji wa dona, au ugali wa dona ndio mzur