Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Yaah bado ni ndogooo sanaa...!! Apunguze kula vyakula vyenye sukari lakini pia sukari kufika 8.2 sio kwamba ndo Una kisukarii kama unahisi dalili kama Kuchokaa sanaa.

Kiu isiyokuwa ya kawaida bhasi nenda hospital ili ukafanyiwe vipimo vya sukari. Kipimo kingine cha asili jaribu kukojoa mkojo kwenye sehemu ambapo kuna access ya sisimizi uone kama wataufuata...bhasi jua una excess sugar
Sawa mkuu mtu mwenye 8.2 mmol/litre, akitymia vyakuwa stahiki inaweza kushuka??
 
Inashuka fresh nilikuwa na 8 kwa sasa inacheza 4-5.5 ni Ku balance vyakula tu, sili wanga wala kitu chochote cha sukari na nakula mara 2 kwa siku tu. Nina mwaka wa 3 sasa inacheza hapo hapo, cheki kitabu cha mbongo kinauzwa 20,000 sayansi ya mapishi cha boazmkumbo

Mkuu naomba unitajie baadh ya vyakula ambavyo sipaswi kutymia kutokana na kisukari.
 
Kama upo dar es salaam kuna kitabu kinauzwa kama 20,000 kilinipa mwongozo wa chakula na wanatuma. Kisukari sio ugonjwa wa mateso kama watu wanavyofikiri , ni vile unavyouchukulia tu. Uzuri wake kuna vyakula vingi unaruhusiwa kula kuliko ambavyo hurusiwi.

1) Acha vyakula vyote vya wanga(ugali, wali, viazi,mihogo etc)

2) acha juice na soda

3) acha pombe kama mnywaji

4) Matunda ya sukari kula kwa wastani.

5) usitumie sukari yoyote na asali(asali hautakiwi kutumia ingawa watu wanaongopeana inafaa)
Mkuu naomba unitajie baadh ya vyakula ambavyo sipaswi kutymia kutokana na kisukari.
 
Kama una hela nunua kitabu cha boazmkumbo cha sayansi ya mapishi kinauzwa 20,000 jamaa kaelezea fresh ni cha kiswahili. (Sio natangaza biashara kimenisaidia na jamaa Sina uhusiano naye).
Mkuu naomba unitajie baadh ya vyakula ambavyo sipaswi kutymia kutokana na kisukari.
 
Kama upo dar es salaam kuna kitabu kinauzwa kama 20,000 kilinipa mwongozo wa chakula na wanatuma. Kisukari sio ugonjwa wa mateso kama watu wanavyofikiri , ni vile unavyouchukulia tu. Uzuri wake kuna vyakula vingi unaruhusiwa kula kuliko ambavyo hurusiwi....
Ahsante sana kiongoz siko dar es salaam,

Naomba kuuliza mfano dagaa, matumiz ya nazi, maharagwe, na mboga jamii ya kunde ni salama kutumia??
 
Mimi nakula kwa siku mara mbili nakula ninaposikia njaa tu. Vyakula vyangu ni nyama,mayai, samaki, parachichi kwa wingi,matunda(ya sukari kwa wastani), mboga za majani kwa wingi)
Mkuu naomba unitajie baadh ya vyakula ambavyo sipaswi kutymia kutokana na kisukari.
 
Dagaa.... Kula mpaka ugare gare haipandishi sukari

Matumizi ya nazi...... Ndiyo mazuri zaidi hayana chemicals

Maharagwe.... Si mazuri sana kula kwa wastani

Mboga jamii ya kunde... Kula kwa wastani

Pendelea sana mboga za majani, kiufupi unatakiwa ubadilishe mfumo wa ulaji utaona tofauti ndani ya wiki.
Ahsante sana kiongoz siko dar es salaam,
Naomba kuuliza mfano dagaa, matumiz ya nazi, maharagwe, na mboga jamii ya kunde ni salama kutumia??
 
Back
Top Bottom