Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Natamani kupika vibagia maana nimekuwa napenda sana bites mbali mbali lakini nimepata kisukari
nataka kujua je hazitanidhuru nikitengeneza vibagia?
Asante
 
keton ni mabaki yanayotokana na kuvunjwa vunjwa kwa mafuta mwilini ,hii inatokana na mwili kushindwa kutumia glucose iliyoko mwilini kwa ajili ya kuzalisha nguvu kutokana na upungufu au uwepo wa insulin ambayo haifanyi kazi vizuri.samahani kwa kutokujibu mapema
 
Nice article Don12🙂
Matokea ya kutoithibiti sukari ipasavyo(kutofuata matibabu):Chronic complications
1.Vidonda vya miguuni ambavyo vinachukua muda mrefu kupona
2.Diabetes neuropathy:Nervedamage:Kupungukiwa na hisia kwenye miguu ambako kuna peleka kutohisi maumivu haswa miguuni(Diabetes foot)mfano unaweza uwe umevaa viatu vya kubana lakini usihisi hivo hata kupeleka kupata vidonda.
3.Diabetes retinopathy:eye damage(sukari inaharibu mishipa ya damu iliyopo kwenye macho kupeleka matatizo kwenye kuona au ukipofu)
4.Diabetes nephropathy:matatizo kwenye mafigo kupeleka mafigo kuharibika kwa mafigo
5.Matatizo ya moyo(Heart attack )
6.Stroke
7.Erectile dysfunction(Inasababishwa na kutokuwa na msukumo wa damu wa kutosha kwenye uume kwasababu mishipa ya damu kupungua upana/ukubwa kutokana na calcification)
 
DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI NA JINSI YA KUJIKINGA




KISUKARI ni moja ya magonjwa yanayoathiri watu wengi siku hizi nchini mwetu na hata nje.

Kati ya hao, wengi huishi na ugonjwa huo kwa muda mrefu na kuja kugundua kwamba wana
kisukari baada ya muda wa kama miaka mitano hivi, baada ya mwili kuanza kuonesha dalili kuu za kisukari.

Ndani ya kipindi hicho cha miaka mitano, tayari mwili unakuwa umepoteza baadhi ya uwezo wake katika macho, figo, fizi na neva za fahamu. Kisukari hakina dawa ya kutibu kabisa, bali vipo vichocheo (hormone) na dawa zinazosaidia kurekebisha kiwango cha sukari mwilini.



Je, vipi mtu aweza kutambua kuwa na kisukari mwilini? Zipo dalili kadhaa zinazotokea kwa
wenye kisukari. Baadhi ya hizo ni kiu ya maji isiyoisha, njaa kali, kwenda haja ndogo mara kwa mara na vidonda au michubuko kuchukua muda mrefu kupona.

Nyingine ni ngozi kuwa kavu na kuwasha, mgonjwa kupoteza uzito bila sababu, kuwa na ukungu machoni, kuchoka kusiko kwa kawaida, hisia kupungua katika vidole na viganja
mikononi na miguuni na kuwa na ukungu katika fizi, ngozi na kibofu cha mkojo.

Hatua za mwanzo za kisukari huwa na dalili chache sana, hivyo inawezekana kabisa mtu asifahamu kuwa ana kisukari, ingawaje madhara yanaweza kuwa yameshatokea katika macho, figo na mfumo wa usukumaji damu mwilini.

Watu wengi wanaopatwa na kisukari huangukia katika makundi ya wenye umri unaozidi miaka 30, uzito mkubwa na uzito uliokithiri (uwiano kati ya uzito na urefu zaidi ya 25 na 30),
kadhalika, watu wasiofanya shughuli za kuupa mwili mazoezi huwa katika hatari hiyo, kama
ilivyo kwa wale wanaozaliwa katika familia ambayo mmoja kati ya wanandugu wa karibu ana kisukari. Mwanamke kujifungua mtoto mwenye uzito wa zaidi ya kilo nne na aliyekuwa na kisukari cha ujauzito anaangukia pia kwenye kundi hilo, sawa na wale wanaokuwa wamepata ajali na kuumia sehemu za tumboni au kula chakula chenye sumu ambacho kinaweza kuumiza
kongosho.

Upo umuhimu wa kupima kisukari mapema basi, ili kuepuka mtu kuishi nacho kwa muda mrefu pasipo kujua, na kusababisha madhara kusambaa mwilini na kumwathiri mwathirika.
Ni muhimu kuzingatia mazoezi, uzito, lishe na ushauri wa wataalamu wa afya, kwa sababu husaidia kupunguza makali na madhara yatokanayo na kisukari.

Watu wenye kisukari wapo katika hatari zaidi ya kupatwa na magonjwa ya moyo, kiharusi, matatizo na kuharibika kwa kibofu cha mkojo, shinikizo la juu la damu, upofu, kufa neva za fahamu, uharibifu katika fizi na ugonjwa wa fangasi.

Mtu anapokuwa na kisukari, mzunguko wa damu miguuni hupungua na hii ndiyo sababu kubwa ya kufa kwa neva za fahamu na hivyo mtu kukosa hisia katika eneo hilo la mwili.
Matokeo ya hali hiyo ya kutohisi punde mtu anapodhurika na kusababisha kidonda ambacho mara nyingi mhusika anakuwa hafahamu hadi anapofahamishwa na mtu wa karibu au atakapokagua miguu yake.

Hii ndiyo sababu kubwa ya watu kushauriwa kukagua miguu yao kila siku kabla ya kulala kuona kama kuna mchubuko wa aina yoyote au ukucha unaoweza kuchimba ngozi. Kutokuzingatia masharti ya kujikagua huweza kusababisha kidonda kukua, kutotibika na hatimaye mgonjwa kuishia kupoteza kidole, unyayo au hata mguu.

Vile vile, kutokuzingatia masharti ya kujua kiwango cha sukari mwilini huweza kusababisha mtu akapoteza fahamu kutokana na mwili kuzidiwa sukari asidi (diabetic ketoacidosis), na hii huweza kusababisha kifo mara moja.

Mgonjwa anaweza kuzuia madhara yatokanayo na kisukari kwa kuzingatia maelekezo, masharti na ushauri wa wahudumu wa afya, hasa kuhusu chakula na mazoezi na maelekezo ya utumiaji sahihi wa dawa au insulin.

Mgonjwa hatakiwi kuvuta sigara, awe anapima kiwango chake cha shinikizo la damu mara kwa mara na kuhakikisha kiwango chake cha lehemu kipo katika uwiano unaotakiwa. Takwimu zinaonesha kuwa uzingatiaji wa hayo yaliyotajwa umesaidia watu wengi kupunguza madhara
ya kisukari kwa asilimia 75.

Lishe mahsusi kwa mtu mwenye kisukari ni mlo wenye kiwango kidogo sana cha mafuta, kiwango kidogo cha chumvi na kiwango kidogo cha sukari. Mlo uwe na mchanganyiko wa
nyuzinyuzi kama vile dona (unga wa mahindi yasiyokobolewa), nafaka, tambi, ndizi za kupika, mtama, uwele nk.

Vile vile matunda machachu na mboga za majani zilimwazo na zile za porini ziliwazo kama mchunga, tembele, majani ya maboga, majani ya kunde na mbilimbi. Ni vyema kujitahidi kula kiasi kidogo cha chakula walau mara tano kwa siku kuliko mlo mkubwa mara mbili au tatu kwa siku.

Isipokuwa kwa sababu zisizozuilika, mgonjwa asiache kula, kwani ni mbaya kwa utendaji kazi wa mwili. Katika kudhibiti kiwango cha sukari mwilini, ni muhimu mwathirika kupata maelekezo yahusuyo njia na jinsi ya kupima na kujua kiwango cha kawaida cha sukari mwilini.

Watu wengi wenye kisukari huwapasa kutumia aina ya insulin kabla ya kula chakula kulingana na kiasi cha wanga ulio kwenye chakula anachotarajia kula. Kupima wingi wa wanga katika
chakula husaidia kupanga mlo.

Kujitambua wakati kiwango cha sukari kikiwa juu kupindukia ni kwa kupima damu angalau mara tatu kwa siku, ikiwa ni pamoja na kabla ya kwenda kulala. Mara nyingi watu hupima asubuhi au alfajiri wanapoamka, mchana wa adhuhuri au alasiri na jioni au usiku kabla ya kulala.

Ikiwa sukari mwilini ni nyingi kupindukia, inaweza kumlazimu mgonjwa kutumia insulin ya ziada inayofanya kazi ndani ya muda mfupi (short acting insulin) ili kurejesha kiasi cha sukari
katika kiwango cha kawaida.

Mgonjwa atafahamishwa na mhudumu wa afya au daktari kuhusu kiwango cha insulin cha kutumia kulingana na wingi wa sukari aliyo nayo mwilini kwa wakati huo. Licha ya kuwapo wingi wa sukari mwilini, kuna kisukari ambacho mgonjwa huwa na upungufu wake pia.

Matumizi yasiyo sahihi ya insulin au kutokula chakula husababisha kiwango cha sukari kwenye
damu kupungua kuliko kawaida na hivyo mwili kushindwa kufanya kazi yake ipasavyo.

Dalili za hali hiyo ni kuhisi uchovu bila sababu, kupiga miayo kupindukia, kushindwa kuzungumza au kufikiri vyema, kupoteza stamina, kutoka jasho, kupata vichomi, degedege karibu na kuzimia, kuhisi kuishiwa nguvu au pamoja na kuzimia na mwili kupauka.

Mtu akipatwa dalili hizo inabidi atafute kinywaji kitamu anywe. Aina ya vinywaji vifaavyo ni kama juisi ya matunda (nanasi, zabibu, tufaa, papai ) vile vile soda (si diet soda) au alambe kiasi cha sukari nyepesi (glucose) au pipi.

Baadhi ya maeneo huuza vidonge vya glucagon, ambavyo ni vizuri kubebwa na kuhifadhiwa nyumbani kwa matumizi ya nyakati kama hizo. Glucagon pia hupatikana katika njia ya sindano na hii inaweza kutolewa na mtaalamu au mtu aliyeruhusiwa kuitoa kupitia kwenye mishipa ya
damu (intravenous glucagon injection).

Inawezekana kuishi maisha ya kawaida kabisa ikiwa mhusika atakuwa makini kulinda afya yake
kwa kuzingatia ushauri na mafundisho ya wataalamu wa afya.
 
Ugonjwa wa kisukari ni ugonjwa unaosumbuwa watu wengi sana kwa tanzania na unazidi kuongezeka kwa kasi ya ajabu, hii ni kutokana na maisHa tunayoishi hivi leo kwani tumekuwa na junk food kwa wingi na hata stress ya maisha imekuwa kubwa zaidi

Wengi tumezoea kuservice magari na mambo mengine lakini inapofikia kwenye mwili watu mtu anasahau kwamba mwili ni wa muhimu zaidi katika kucervice kuliko kitu chochote mwili ndio main engeen ya maisha yako gari litaharibika na utanunua jingine lakini kama mwili usipouangalia kwa makini ni huwezi kupata kamwe tena mwili wako na afya yako kama mwazo hiyo tujiwekee tabia ya kuservice na kurepair miili yetu

ugonjwa huu unaweza kuponywa kama mtu akizingatia masharti ya daktari, na akiweza kuupa mwili virutubisho vinavyohitajika

CoNept consultation tunaponya ugonjwa huu kwa dawa lishe, zilizotengenezwa kwa kiwango cha juu kabisa zilizopo kwa form ya vidonge na lishe hii inaenda moja kwa moja kwenye kongosho
dawa hizi zinaenda kurepair na kuliservice kongosho ili liweze kuproduce insulin na insulin iweze kubalnce sukari mwilini. Kwa kawaida mwenye tatizo la kisukari ni kwamba kongosho halifanyi kazi yake inavyotakiwa na kazi ya kongongo ni kuproduce insulin hivyo kama kongongosho haliproduce insulin mean mwili hauna uwezo wa kubalance sukari na ndio maana ukiiwahi sukari ukaweza kula vyema na kuupa mwili virutubisho vyote na kula detoxfication food kwa wingi mwenye sukari atajiona amepona kabisa hii ni kwasababu kongosho limeweza kupokea virutubisho na kulifanya liweze kufanya kazi lenyewe
tunatoa dawa lishe zijulikanazo kama aloe soft gel, fur seal, spirulina,golden oyster

Fur seal

Summary
The two major unsaturated fatty acids in human body are Omega-6 and Omega-3. The most balanced and healthy proportion between Omega-6 and Omega-3 is 1:1. However, in the artificial breeding agricultural and livestock products, the content of Omega-3 is very low resulting in severe imbalance.

In recent study, the disproportion of Omega-6 and Omega-3 surges to 30:1 which directly affect the normal function of cardiovascular, neurological, respiratory, and digestive and immune systems of human body. It is recommended, by World Health Organization; increase the proportion from 30:1 to 4:1. Fur Seal Oil contains DPA, DHA and EPA as high as 25%, it is the best natural resource of Omega-3.

Main ingredients
Fur seals oil, Natural Vitamin E, Edible glutin, Edible glycerol, Purified water.
Each 1000mg contains fur seal oil 999mg

Dosage:
1 capsule once, twice a day.

Content:
Strength: 500 mg × 60 capsule
Storage:
Keep sealed and away from light in a cool and dry place at room temperature. Keep out of reach of children.

Function:

1. Regulate the blood cholesterol and triglyceride levels, soften blood vessels, and regulate insulin secretion.
2. Help garbage and toxins accumulated in blood, and the healthy status of circulatory system.
3. DPA - one of the most important parts of human cell membrane is responsible to enhance immune system and mental development.
4. DHA - the important components of brain, nerve and eye tissue, known as Brain Gold, is responsible to enhance memory, promote intellectual development and improve infant IQ intelligence.
5. EPA, known as Vascular Sweeper, is capable of softening blood vessel wall
6. Squalene is responsible to provide oxygen to cells to restore vitality and immunity.

Golden oyster
Oyster is the most valuable marine shell and the world annual output is up to one million tons. Oyster meat is rich in glycogen, protein, amino acids, essential trace elements, vitamins, and many unsaturated fatty acids with important physiological activity. In European countries, oyster is known as the "Divine Magic Food". It is shown by modern scientific research that oyster enjoys a wide range of physiological activity of improving immunity, regulating metabolism, enhancing brain development, lowering blood fat, and increasing anti-fatigue as well as anti-virus effects. Neptunus Golden Oyster Capsule, contains lyophilized oyster powders as main ingredients and refined by modern biotechnology, is rich in taurine, amino acids, glycogen, vitamins, protein and various trace elements of appropriate proportion, and is easily absorbed by human body.
The oyster materials is dedicatedly chosen from the natural-waters in Neptunus Aquaculture Base located in Sanya, Hainan Island, The best-quality atmosphere and pollution-free sea water has witnessed the golden quality of Neptunus Golden Oyster Capsule.

Main ingredient
Oyster lyophilized powders
Dosage
2 capsules once, twice a day
Content:
200mg x 60capsules
Storage
Store in a cool and dry place and keep away from light
Function:
1. Improve general health and regulate internal environment.
2. Regulate immunity.
3. Improve the health condition of patients with hepatitis; protect and nourish the liver; regulate lipid metabolism in the liver, reduce liver fat accumulation; improve enzymatic activity of liver function;
4. Enhance anti-oxidation and anti-hypoxia capacity.

Suitable For:
People with severe fatigue, insomnia and low energy caused by busy work and tight living pace.
Patients with angina, myocardial infarction, hypertension, arteriosclerosis, cerebral thrombosis and diabetics.
Patients with hepatitis, cirrhosis, other liver pathological changes and kidney pathological changes.
People in need of enhancing sexual ability.
People in need of enhancing explosive force, endurance and maintaining physical strength.



Spirulina



Spirulina is one kind of lower plants with original and simple cell structure. It is the one of the earliest photosynthetic organisms on earth which is living on this planet for 35 million years. Its name comes from the shape of spiral filaments under microscope. Spirulina is known as one of the most comprehensive and balanced nutritious food. It is rich in proteins, polysaccharides, unsaturated fatty acids, carotenoids, phycocyanin, chlorophyll, vitamins, minerals and trace elements. It is popularized all over the world and is renowned as Ideal Food in 21st Century by United Nations Food and Agriculture Organization (UNFAO).

Aloe
Aloe, originally found in Africa and Mediterranean Coast, has wide varieties. Only a few of aloe, like Aloe Barbadensis/Aloe vera, have important pharmaceutical values. Aloe contains aloin, aloe sugars, aloe polysaccharide, and a great variety of vitamins and minerals. It is capable of relieving constipation, neutralizing toxin and performing anti-ulcer and anti-inflammatory effects. Neptunus Aloe Softgel Capsule is concentrate of Aloe Vera; two capsules contain 20mg of aloin, equivalent to 20000mg good-quality fresh Aloe Vera leaf. XOS (Xylo-oligosaccharide) is specially added. Not containing diarrhea-induced and hormonal ingredients.

Main ingredients:
Lyophilized aloe vera powders, refined vegetable oil


Dosage:
One or two capsules after meal, twice a day.

Content:
500mg x 60capsules

Storage:
Close tightly and keep in a cool, dry place at room temperature, avoid light. Keep out of reach of children.

Function:

1. Loosen bowel to alleviate constipation and eliminate toxin; regulate endocrine and prevent constipation and intestinal diseases.
2. Nourish skins and maintain beauty; improve skin metabolism, eliminate freckle and acne; whiten skin, enhance skin brightness and maintain moisture of skin to prevent ultraviolet damage.
3. Enhance immunity
4. Promote wound healing, and perform sterilization and detoxification on the sunburn, scald, fire burn and acne.


Suitable for:
1. People with constipation, stubborn stool, gastrointestinal disorders and bad breath.
2. For skin care and beauty maintenance especially in females, increasing skin elasticity and maintaining moisture and also suitable for people with pimple and acne.
3. People with acute or chronic gastritis and duodenal ulcer.
4. People with unhealed trauma or sunburn.
5. People with diabetes and hypertension


Precaution:
Not suitable for women in their menstrual period, Pregnancy, breast feeding women, weakness and children.

kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa email consultationlifestyle@gmail.com
0653799955 or 0754933253
 
48064_514029515324185_1140119294_n.jpg



10 Natural Therapies of Diabetes

Diabetes is a common disease that is related to the insulin deficiency and higher glucose levels. It is a lifelong disease and the patient suffers from many complications during this period. Higher levels of glucose in blood tissue may also invite other disorders. The symptoms of diabetes mellitus are very complicated but are identified when two or more symptoms are found in group. Diagnostic symptoms also help to identify diabetes. Nature has many gifts for the diabetics. Both the Type I and II patients may enjoy these natural therapies of diabetes. These are better as compared to the synthetic treatments. Most of the people find it hard to select the best natural therapies.

Following are given the top ten natural therapies of diabetes. It should be noted that these natural therapies are equally beneficial for Type 1 and Type 2 Diabetes.

10. True Aloe Gel (Aloe vera) (Mshubiri)

Aloe gel is mostly used and a significant decrease in blood glucose level has been reported. Aloe vera is a good mix of all the enzymes, carbohydrates and minerals that are necessary for homeostasis. Most of the ingredients are very active and provides a good glucose balance. The essential amino acids are those which are required by the body on regular basis and Aloe gel provides the 20 to 22 amino acids. Anti-inflammatory hormones are also present that serve as a good nourishment for the beta cells. Aloe vera gel has a proven efficacy against diabetes type 2 and a regular intake may help the patient to combat disease. Positive effects on immune system are also reported.

9. Miracle Fruit Leaves (Gymnema sylvestre)

Miracle fruit is an Indian herb and serve as a rich source of gymnemic acids. Most of the people use this magical herb to treat many problems that are related to diabetes. The extracts of gymnema leaves are very used to block the sugar receptors present in the tongue and consequently, there is a significant decrease in blood glucose level. This herbal treatment has been used since prehistoric times but the taste of the leaf extract has very offensive properties. The short term effect of this herbal medication is proven by experiments. Chemically, the leaves are rich in many active compounds which are collectively termed as gymnemic acids.

8. Bitter Melon (Momordica charantia) (Tango chungu)

It is also called as bitter squash and used as a vegetable in South Asian countries. Momordicin 1 is considered to be the most active substance present in Momordica. It contains another bioactive compound called as lectin that acts to lower the blood sugar. The lectin acts as an insulin substitute and results to lower the blood sugar in case of diabetes type 2. The active sites are occupied by this bioactive and hence results to give the balanced sugar levels. Juice of the bitter melon is effective to give the desired results, i.e. lower glucose level in blood. If used on regular basis, the natural treatments of diabetes may prove to be effective as compared to the allopathic treatments. A significant effect on blood cholesterol level and cardiac problem has been reported. It is also used as an anti-cancer therapy.

7. Cinnamon Bark (Cinnamomum spp.) (Mdalasini)

Several studies proved the efficacy of cinnamon as an anti-diabetes therapy. Bark is used in the form of powder and helps to decrease the glucose levels. Out of many natural treatments of diabetes, this is very effective as it provides a good mix of all the minerals that act as substitutes for insulin. Calcium, Zinc, Phosphorus, Iodine, etc. provides a good support for the diabetics and these are all naturally packed inside the bark of Cinnamomum species. In many cases, it has been observed that it performed better than the synthetic medicines.

6. Fig Leaves (Ficus carica) (Majani Tini)

Besides providing a good therapy for the skin and stomach issues, fig leaves have been known as a proven treatment for diabetes. Most of the diabetics believe that fig leaves are better as compared to other natural treatments of diabetes. Fig leaves are rich in minerals such as Calcium, Zinc, Copper, Folic acid, etc. and vitamins such as vitamin A, B complex, etc. The consumption of leaves on regular basis helps to balance the blood sugar level and consequently, patient feels comfortable. It is a natural laxative as well as it is used to treat insomnia. Out of many natural treatments of diabetes, it is a better therapy.

5. Curry Leaves (Murraya koenigii) (Majani ya Curry)

Curry leaves are used as a spice in Asian countries and mostly used to give a specific spice aroma to the Asian dishes. In case of diabetes, it helps in three ways. Firstly it is a rich source of minerals that helps to take over the active sites in the absence of insulin. Secondly, it removes the free radicals by the anti-oxidation mechanism. Thirdly, it participates actively in carbohydrate metabolism and hence plays a part in decreasing the blood glucose level.

4. Fenugreek seeds (Trigonella spp.) Kwa lugha ya kiswahili inaitwa (Uwatu)

Fenugreek seeds are very good therapy for treating type 1 diabetes. Considered to be natural as therapy for type 1 diabetes, these seeds serve as a rich source of minerals and antioxidants. Most of the people also use it along with their daily diet. It has been used as a diet ingredient in most of the Asian foods and fruit pickles. The powder of the seeds is used for achieving lower blood sugar levels. The usual dosage is two times a day or as recommended. There are no side effects and the powder can be used with many types of diets. Many natural treatments of diabetes prove effective but this method is very distinct as far as the availability is concerned.
Fenugreek-methi-seeds.jpg

Fenugreek seeds Uwatu

3. Grape seeds (Vitis spp.) (Mbegu za zabibu)

Grape seeds are also used for the cure of diabetes. The seed extract is rich in vitamins especially vitamin E and phenols. The action of this seed extract is to increase the body ability to resist the oxidative stress. Most of the natural treatments are intended to act slowly and a regular dose is necessary for good results. It is also an interesting fact that you can integrate more than 2 natural therapies after in an optimum dosage. As far as grape seed is concerned, there is a progressive decrease in blood glucose level with the passage of time and proves to be effective in Type 1 diabetes.

Grape-Seed-Extract.jpg

mbegu za zabibu

2. Neem (Azadirachta indica)

Neem leaves are very broad in their action as far as diabetes and other disorders are concerned. The action is limited to blood and the active azadirachtin results in lowering the requirement of insulin. The lower requirement of insulin is due to the inactive glucose in blood. Patients suffering from the Type I and II diabetes take the powdered leaves as the treatment. The azadirachtin is the active ingredient and play the role in lowering sugar levels.

1. Black Seeds (Nigella sativa) (Habbat Sawda)

Black Nigella seeds are used in many forms. Powder and oil is mostly used to treat the diabetes issue but water extracts are also used. It has been reported that it is a permanent therapy for diabetes. Latest research trials are reporting further development. The bioactive compounds include thymoquinone, niginone and volatile oils as well as many minerals that help to serve as a substitute of insulin. This natural therapy is now most recommended as it has proven results and no side effects. It also affects your cardiac health and homeostasis.

Natural therapies are the best way to live a healthy life with diabetes. These have very low risks but great care should be taken in determination of dosages as sudden drop in glucose level may also prove to be damaging at any stage of life. Whenever you diagnose the 10 symptoms of diabetes, you should incorporate these components in your daily or routine diet, in order to live a happy life.
—
stock-photo-nigella-or-black-cumin-147131366.jpg
 
Asante sana MziziMkavu, maana kisukari limekua tatizo kubwa sana nchini

Japo huwa sielewi kitu kimoja, Kwamba wataalamu wetu huwa hawana taarifa ya hizi tiba mbadala????????
 
Last edited by a moderator:
Asante sana MziziMkavu, maana kisukari limekua tatizo kubwa sana nchini

Japo huwa sielewi kitu kimoja, Kwamba wataalamu wetu huwa hawana taarifa ya hizi tiba mbadala????????
Mkuu mgeni10 dawa zangu mimi siwaekei Wataalam wa Madawa. Mimi Dawa zangu huwa nawaekea watu wagonjwa na walala hoi wasiokuwa na uwezo wa kununuwa Dawa Sina mpango na wataalam.
 
ahsante sana Mzizimkavu kwa darasa, once again u save the day. God bless u for such info, i salute u
 
Nilianza kujipima kiwango cha sukari katika damu enzi hizo ambako kuwa na kijimashine ilikuwa ni ndoto na wala hazikuwa zikipatikana kwa kiwango cha sasa. Tulikuwa tunatumia Benedict's solution (reagent?), test tube na moto. Unaweka mkojo mle na kiasi fulani cha Benedict's solution (nimesahau ni kiasi gani), then una-heat kwa muda fulani na kuaangalia rangi itakavyo badilika na hivyo kuweza kufahamu ni kiasi gani cha sukari kilichopo kwenye damu.

Kwa sasa kuna unafuu mkubwa na upatikanaji umeboreka wa vifaa vya kupimia kiwango cha sukari katika damu kwa kutumia damu. Ingawa bei ya hizi blood glucose meters sio rahisi sana (mashine ni cheaper kuliko tests strips zake), lakini imepunguza usumbufu.

Sasa swali na changamoto kwa wagonjwa wa kisukari ni je, majibu ninayopata kwenye meter yangu ni sawa na yatakayopatikana kwenye meter nyingine? Na kama jibu ni hapana, ipi ni meter bora zaidi?

NB: Mwandishi anatumia meter iitwayo Freestyle Freedom Lite, wakati unachangia kama utaweza ni vizuri kama utataja aina ya mashine unayotumia.
 
Enyi wadau madaktari naomba mnisaidie uwezekani wa mwenye ugonjwa wa kisukari kutibiwa waheshimiwa
 
Diabetes type II inaweza kutibika ukifata matibabu,kula vyakula healthy na ukifanya mazoezi....
 
Wana JF,

Ninapendanda kukufahamisheni na kupitia kwenu kuwafahamisha wengine kwamba kuna Mtanzania ambaye anatibu kisukari na maqgonjwa mengine kama pressure na vidonda vya tumbo kwa uhakika kwa wiki mbili tu. Ni Dr. Juma JUma ambaye anapatikana kwa namba 0767 223338. Ametibu watu wengi kwa kipindi cha miaka 20+ sasa.

Anakaa Tegeta - ukipita njia ya kwenda uninio - pita baraba ya kuingia bahari beach then ukifika karibu na kanisa katoliki la mkono wa kulia ingia baraba ya vumbi kushoto - kuna vijana wa boda boda watakuelekeza. Binafsi ninathibitisha kwani kaniponyesha kisukari.

Wasalaam.🙂
 
Ahsante kwa taarifa hii inayolenga watu wa Dar tu. Mikoani hawaugui eeh..!?
 
Back
Top Bottom