Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesha eleza hapo juu Maji kiasi cha chupa 2 za Orange juisi au maji kiasi cha lita 4.
wewe fanya maji yaweze kutosha mimi nilisema chupa 2 kwa kukisia wewe jaribu kuweka japo chupa 4 au 5 ili iweze Dawa kukufikisha siku 13. ukimaliza kutumia dawa kwa muda wote nenda kapime kisha uje hapa unipe Feedback.Mkuu hapo juu hujasema maji lita ngapi...hiyo lita 4 ni kwa dawa yote au kila ukichanganya ya siku 13 maji yanakuwa lita 4.
Habarii wana-JF
Mimi nina miaka 31 nmegundulika kuwa nina kisukari kama miezi 4 iliyopita.
Dr akanishauri nianze diet kwanza kabla ya dawa nione kama nitacontrol.
Ila nasikia kuna dawa za asili zinaweza kutibu naomba kama yupo mtu mwenye uzoefu au aliwahi kutumia dawa za asili zikamponya aniongoze namm nipite njia hiyo,maana siku hizi wengi wanasema wanatibu lakini naona ni matapeli naweza poteza pesa zangu nataka mtu mwenye uhakika.
Asanteni.
Mkuu fuata ushauri wangu na mpigie simu dr kilama. Alinipa dawa za asili na kushusha blood sugar yangu tokea 13.5 to 7.4 (kabla ya kula) kwa kipindi cha wiki moja na nusu. Mimi natoa ushuhuda sifanyi biashara
Asante mkuu nipe no yake
Mimi ninakupa Dawa ya kurudisha Sukari yako iwe kiwango cha kawaida Fanya hivi:Habar jaman nasumbuliwa na uginjwa wa sukar. Mara nying nimesikia watu wamekunywa dawa za kienyeji na wamepona kabisa kama kweli naomben msaada wenu tafadhali wapi ntapata na mimi.
Je,mtu anae kunywa maji mengi na kumpelekea kukojoa mara kwa mara hilo nalo kwan tatizo