Tatizo la hii nchi ni ubinafsi

Tatizo la hii nchi ni ubinafsi

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Watu wachache wanataka wachukue mali yote ya nchi.
Wanataka wachukue kila kitu: dhahabu,almasi.
In fact,almasi hatuisikii kabisa.
Inanikumbusha zamani nilipokuwa shule ya msingi boarding school.
Nikaenda nyumbani weekend nikarudi na keki.
Nimekaa dormitory nakula keki na rafiki yangu yupo pembeni nimesahau kumkaribisha.
Yule rafiki yangu akaniuliza,"Hiyo keki unayokula,ni tamu?"
Nasikitika kuhusu ubinafsi katika nchi hii.
Ubinafsi,tatizo la nchi na tatizo la nchi nyingi pia.
Kinachohitajika ni tuwe na Chama cha siasa ambacho kitajengwa katika msingi wa kuondoka ubinafsi.
 
Wewe ndo unajua leo,sisi wengine tushashtuka na kuikimbia nchi yenu iliyojaa uozo,nipo zangu JAMAICA
 
Chama cha Kuondoa Ubinafsi Tanzania (CHA KU U TA)
 
Back
Top Bottom