Tatizo la Homoni Inbalance

Tatizo la Homoni Inbalance

Onyix

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
682
Reaction score
793
Habari JF Dr. Nna dada mmoja rafiki angu ana tatizo la homoni inbalance kama sijakosea inavyo tamakwa ameenda hospitali nyingi lakn tatzo akipima lipo pale pale... Anaomba ushauri mbadala maana na akiwa kwenye siku zake anatoa Damu kidogo sana... Hii inamnyima raha kabisa anahisi uchafu unabaki ndani.. Tatizo hili lina muda kidogo toka mwaka 2014..
Anaomba msaada wenu wakuu.
 
Pole sana, endelea kuonana na madaktari bingwa wa wanawake utapata suluhu ya tatizo lako tu, najua ni wewe mwenyewe ndo mwenye hilo tatizo
 
I remember kuna ndugu yangu alikua na hilo tatizo. Akapewa dawa za kumeza miezi 6. Alipomaliza hizo dawa hilo tazizo liliisha. Alipata dr KCMC kwa dr mmoja
 
Mkuu mi ni "Me"
 
Asante ngoja tufatirie
 
aache uwoga......mbona sio lazma kutokwa damu nyingi!!??? lkn kama anatumia vipandikizi bs inaweza kuwa sababu....au kama amewahi kutumia kwa mda mrefu.....bt apiwe picha ili waone ndani kama kuna huo uchafu........ingawa tangu 2014 kama kweli kungekua na uchafu unabaki kila mwez basi leo tungekua tunaongea mengine.
 
Habari JF Dr. Nna dada mmoja rafiki angu ana tatizo la homoni inbalance kama sijakosea inavyo tamakwa ameenda hospitali nyingi lakn tatzo akipima lipo pale pale... Anaomba ushauri mbadala maana na akiwa kwenye siku zake anatoa Damu kidogo sana... Hii inamnyima raha kabisa anahisi uchafu unabaki ndani.. Tatizo hili lina muda kidogo toka mwaka 2014..
Anaomba msaada wenu wakuu.
Ashawahi tumia njia. Zozote za uzazi wa mpango? Je huwa anahama hama mazingira yaaan mikoa? Na je tatizo lina muda gani? Na zikitoka zinatoka kam spot tu au zinatoka na kukata Mara moja na hazirudi tena? Na ameshapima magonjwa ya zinaaa?
 
Alisha wahi kutumia p2... pia huwa anahama hama sana mazingira kutokana na shughuli anazofonya, tatizo lipo toka mwaka 2014 mwishoni December.. damu zikitoka zinatoma kama spot tu sio kama zamani zilikua zinatoka za kawaida na kuhusu magonjwa ya zinaa amepima sana na yupo poa... pamoja na haya yote kutokea lakn hasumbuliwi na kuumwa tumbo la kawaida wala nini..
 
Back
Top Bottom