Onyix
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 682
- 793
Habari JF Dr. Nna dada mmoja rafiki angu ana tatizo la homoni inbalance kama sijakosea inavyo tamakwa ameenda hospitali nyingi lakn tatzo akipima lipo pale pale... Anaomba ushauri mbadala maana na akiwa kwenye siku zake anatoa Damu kidogo sana... Hii inamnyima raha kabisa anahisi uchafu unabaki ndani.. Tatizo hili lina muda kidogo toka mwaka 2014..
Anaomba msaada wenu wakuu.
Anaomba msaada wenu wakuu.