KERO Tatizo la huduma ya mnara wa kampuni ya TTCL Singida, Wilaya ya Ikungi Kata ya Misughaa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Joined
Jan 30, 2024
Posts
13
Reaction score
2
Tatizo la huduma ya mnara wa kampuni ya TTCL katika mkoa wa SINGIDA , wilaya:IKUNGI ,kata :MISUGHAA.

Mnara huu unachangamoto ya nishati inayotumika haitoshi kabisa sasa ni mwezi unaisha na siku zake. Mnara huu unatumia nishati ya jua(solar pannels) kipindi hiki cha masika ndo tatizo haswa ,licha ya kuwepo kwa nishati mbadala ya Umeme wa REA lakini bado mamlaka hazijachukulia kwa uzito .

Inakua ni kero kwa watumiaji, tunaomba mamlaka zinazohusika ziwajibike na kero hii.
Asanteni
 
Engineer wa hapo inabidi afukuzwe ,kuna battery zinakaa na chaji saa kibao tu kwanini wasiziweke hapo? Kuna pannel zinachaji kwa mwanga tu mdogo wa jua ili mradi iwe tu mchana hata mvua inyeshe 24hrs itachaji mchana maana jua lipo tu.

Na pia TTCL inafanya roaming na Yas kama TTCL haishiki roam na Yas.
 
Back
Top Bottom