ricochetmarcus
Member
- Jan 30, 2024
- 13
- 2
πππnipo kwa muda nawaachia lain yao huku huku sitaki utaniKwanini usifike hapo Ofisi ya TTCL Singida mjini,uwape makavu laivu?
ππ samahani mkuu navunja laini kaka usiwazeWa kulaumiwa ni wewe uliyechagua mtandao wa hovyo usiokuwa na kichwa.
Hayo ndiyo maneno sahihi ndugu.samahani mkuu navunja laini kaka usiwaze
Engineer wa hapo inabidi afukuzwe ,kuna battery zinakaa na chaji saa kibao tu kwanini wasiziweke hapo? Kuna pannel zinachaji kwa mwanga tu mdogo wa jua ili mradi iwe tu mchana hata mvua inyeshe 24hrs itachaji mchana maana jua lipo tu.Tatizo la huduma ya mnara wa kampuni ya TTCL katika mkoa wa SINGIDA , wilaya:IKUNGI ,kata :MISUGHAA.
Mnara huu unachangamoto ya nishati inayotumika haitoshi kabisa sasa ni mwezi unaisha na siku zake. Mnara huu unatumia nishati ya jua(solar pannels) kipindi hiki cha masika ndo tatizo haswa ,licha ya kuwepo kwa nishati mbadala ya Umeme wa REA lakini bado mamlaka hazijachukulia kwa uzito .
Inakua ni kero kwa watumiaji, tunaomba mamlaka zinazohusika ziwajibike na kero hii.
Asanteni
usihangaike na line zao, TTCL ni hamna kituπππnipo kwa muda nawaachia lain yao huku huku sitaki utani