Tatizo la Humphrey Polepole ni kuamini alikuwa " the chosen one" na sasa ameathirika kisaikolojia

Naona bora mjibu yale Polepole anayoongea na msihangaike na Polepole binafsi, au hisia zenu zinawatuma muamini kitu gani kumhusu Polepole, huko ni kujidanganya.

Polepole ana haki ya kuzungumza au kuuliza.
 
Kupinga kitendo cha rais kuwaambia mawaziri wale rushwa ila wasile sana
Polepole kafanya jambo la kishujaa sana
Kumwambia ukweli huyo mfalme juha wenu
Msije mkamfanya kama subwoofer aliyesema ukweli kwamba nchi itauzwa kwa madeni manake zanzibar wameshaanza kuuza ardhi ya jamhuri ya muungano (visiwa) kwa wageni
Mbona ilo swala lilisha tolewa ufafanuzi mara nyingi huku, ulisikiliza hotuba yote?
Polepole alipiga kelele kwenye katiba mpya alivyo pewa madarKa akasema katiba haina umuhimu. Ni wale wanasiasa wa fursa na matukio, ana tafuta political mileage
 
Mnataka watu wasikosoe hata km viongozi wanakosea? Acheni ubnafisi hii nchi sio ya kikundi cha watu fulani
Mwendazake alikuwa sahihi kwa asilimia 100? Mbna huyo mwinyimpeku hakuwahi kukosoa na ikibidi alitetea hadharani .
 
Umeruka ruka bila kueleweka rasmi
Nini point yako....

Vema ukatumbia ni kwenye hoja ipi na point ipi ambapo unamuona Humphrey Polepole kwamba amechanganyikiwa?

Waeleze wasomaji wako rasmi kama ni wapi na lini Polepole amesema uongo?

Kitendo cha kutamka kwamba aliokotwa tayari ni kashfa binafsi.
Inaonyesha wewe ni mmoja wa wale mnaokereka na UKWELI wa PolePole .

Mpinge mtu kwa hoja na sio Personal attack.

Kule kwa Urio pia umerukia hoja na ukaruka na kuiacha hewani.

Kama huwezi wakilisha hoja yenye mashiko.
Na watu wakasoma na kukuelewa ni vema usipoteze muda wako kuandika Personal attacks humu JF.
 
"Mwanangu usiwe na matarijio makubwa utakayoshindwa kuyatimiza na kuumuza moyo wako"
Nmekuelewa sana hapo
 
CHAWA yatima🤗🤗🤗
2999586_2537165_P6F2RAW0ULeENPMJA9tbbCN4.jpg
 
Polepole tunaemjua hajawahi kubadilika! Kwa uzwazwa wako unadhani Polepole kashapotea! Kwanza bado ni Mbunge wewe umemfahamu sisi tumemfahamu hata jina la Samia hatulijui! Usifikiri Polepole anaishi kama wewe juha mpiga mapambio! Hata ubunge ukiisha Polepole atakuwepo vizuri tu!
Ni mbunge wa Jimbo gani?

Kama Hana Jimbo basi uhakika wa kukaa bungeni hatakuwa nao 2025
 
'Mwanangu usiwe na matarijio makubwa utakayoshindwa kuyatimiza na kuumuza moyo wako', ni nukuu ya maneno kutoka kwa wazazi wangu wakinisihi juu ya jambo. Ingali kauli hiyo ilitolea zamani sana lakini bado naikumbuka mpaka kesho I we usingizin au penginepo. Kutokana na usia huo naweza kusema Mimi ni mmoja wa watu wenye furaha na amani sana.

Kabla sijaenda kwenye mada kuu, tutafakari kwa ufupi sana uzito wa kauli hiyo na kinachoendelea mahakamani katika kesi ya Mbowe kupitia kwa shahidi Luten Urio. Toka shahidi huyu ameanza kutoa ushahidi kumeibuka kupinga mitandaoni. Kwa nini? Shahidi urio ndio anatufumbua macho kwamba CHADEMA walitaka kutwaa madaraka kwa nguvu yoyote hata wakishindwa. Tukirejelea kwenye nukuu, CHADEMA walikuwa na matarajio makubwa sasa hawawezi kuyatimiza sasa wanaumizwa mioyo.

Bwana Polepole ni mtu mwenye bahati , hilo sikatai lakini kujiona alikuwa "the chosen one" hapo ndipo penye ukakasi. Polepole aliibuliwa mtaani akiwa ni mwanaharakati tu na kuwa katibu mwenezi wa CCM taifa. Nafasi ambayo ilimfanya akae na wakubwa wa nchi, nafasi ambayo ilitambua uwepo wake hata katikati ya umati, nafasi ambayo ilitosha kukaa meza kuu ya sherehe au shughuli yoyote. Sasa yote hayo hana akiyakumbuka anaumia na kuvurugwa.

Siasa si shilingi ambayo ina pande mbili ila karata ambayo upande mmoja hautumiki. Mkiwa mnacheza karata ukawa mbele ya mwenye karata nzuri ya ushindi na anapotoa tabasamu wewe unabaki kuumia na kunyong'onyea na ndicho kinachomtokea polepole.

Polepole anaamini kwa kazi aliyofanya CCM hakustahili kuachwa bila uwepo wake kufikiriwa. Ndipo hapo kauli ya bahati kwa Polepole inakuja lakini bahati ina ukomo, unaweza kubahatisha Leo kesho unashindwa.

Tatizo la Polepole ni la kisaikolojia ,kafika sehemu ni kama anaongea mwenyewe. Apewe tiba haraka apone

Polepole mwaka 2014
 
Eti ushahidi wa urio unaonyesha chadema walitaka kutwaa madaraka kwa njia yyt??? Rubbish takataka yaani chairman apange mipango yote hiyo bila kumshirikisha lissu mgombea uraisi? Yaan laki nane ndo ifadhili ugaidi rubbish
Ndo alipoharibu Uzi wake hapo!
Non sense
 
'Mwanangu usiwe na matarijio makubwa utakayoshindwa kuyatimiza na kuumuza moyo wako', ni nukuu ya maneno kutoka kwa wazazi wangu wakinisihi juu ya jambo. Ingali kauli hiyo ilitolea zamani sana lakini bado naikumbuka mpaka kesho I we usingizin au penginepo. Kutokana na usia huo naweza kusema Mimi ni mmoja wa watu wenye furaha na amani sana.

Kabla sijaenda kwenye mada kuu, tutafakari kwa ufupi sana uzito wa kauli hiyo na kinachoendelea mahakamani katika kesi ya Mbowe kupitia kwa shahidi Luten Urio. Toka shahidi huyu ameanza kutoa ushahidi kumeibuka kupinga mitandaoni. Kwa nini? Shahidi urio ndio anatufumbua macho kwamba CHADEMA walitaka kutwaa madaraka kwa nguvu yoyote hata wakishindwa. Tukirejelea kwenye nukuu, CHADEMA walikuwa na matarajio makubwa sasa hawawezi kuyatimiza sasa wanaumizwa mioyo.

Bwana Polepole ni mtu mwenye bahati , hilo sikatai lakini kujiona alikuwa "the chosen one" hapo ndipo penye ukakasi. Polepole aliibuliwa mtaani akiwa ni mwanaharakati tu na kuwa katibu mwenezi wa CCM taifa. Nafasi ambayo ilimfanya akae na wakubwa wa nchi, nafasi ambayo ilitambua uwepo wake hata katikati ya umati, nafasi ambayo ilitosha kukaa meza kuu ya sherehe au shughuli yoyote. Sasa yote hayo hana akiyakumbuka anaumia na kuvurugwa.

Siasa si shilingi ambayo ina pande mbili ila karata ambayo upande mmoja hautumiki. Mkiwa mnacheza karata ukawa mbele ya mwenye karata nzuri ya ushindi na anapotoa tabasamu wewe unabaki kuumia na kunyong'onyea na ndicho kinachomtokea polepole.

Polepole anaamini kwa kazi aliyofanya CCM hakustahili kuachwa bila uwepo wake kufikiriwa. Ndipo hapo kauli ya bahati kwa Polepole inakuja lakini bahati ina ukomo, unaweza kubahatisha Leo kesho unashindwa.

Tatizo la Polepole ni la kisaikolojia ,kafika sehemu ni kama anaongea mwenyewe. Apewe tiba haraka apone
Umeanza vzr,ila umeharibu ulipoingiza habari za cdm na mbowe hapo kati![emoji706]
 
Back
Top Bottom