Tatizo la Intaneti mtandao wa Airtel

Tatizo la Intaneti mtandao wa Airtel

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,497
Reaction score
16,180
Wakuu hivi ni mimi ambae nakumbana na hili tatizo la internet kwa hawa airtel!?

Maana natumia like 10 minutes mtandao unakata hadi nitoe modem then niweke tena. Na upande wa simu hivyohivyo hadi nizime data then niweke on tena.

Kama kuna tatizo mbona hawatupi taarifa ili tusipoteze fedha zetu kuunga bundle!? Airtel kuweni serious bhana.
 
Airtel ni jipu kubwa sana, ndio mtandao wa nwisho nchini kwa speed ya internet.... sijui wanataka kupata HSARA makusudi ili kumkomoa TTCL kwenye HISA zake hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu hivi ni mimi ambae nakumbana na hili tatizo la internet kwa hawa airtel!? maana natumia like 10 minutes mtandao unakata hadi nitoe modem then niweke tena. Na upande wa simu hivyohivyo hadi nizime data then niweke on tena. Kama kuna tatizo mbona hawatupi taarifa ili tusipoteze fedha zetu kuunga bundle!? Airtel kuweni serious bhana.
duh labda kutokana na maneo mimi hapa nilipo hiyo hiyo airtel na download movie ya 1 gb kwa dakika 11 au ikizidi sana dk 30
 
duh labda kutokana na maneo mimi hapa nilipo hiyo hiyo airtel na download movie ya 1 gb kwa dakika 11 au ikizidi sana dk 30
Binafsi nimezunguka mikoa kadhaa ndani ya wiki mbili, Airtel mtandao una shida sanaaa. Siku mbili hizi sio Internet hata network ya kupiga inakuja na kukata. Ukipiga au ku pokea simu sauti inayotokea upande wa pili hamuelewani kabisaa.
Wanatakiwa watatu shida iliyopo inakera.
 
Wakuu hivi ni mimi ambae nakumbana na hili tatizo la internet kwa hawa airtel!? maana natumia like 10 minutes mtandao unakata hadi nitoe modem then niweke tena. Na upande wa simu hivyohivyo hadi nizime data then niweke on tena. Kama kuna tatizo mbona hawatupi taarifa ili tusipoteze fedha zetu kuunga bundle!? Airtel kuweni serious bhana.

Mimi ilo tatizo lilianza tangu mwaka jana
 
Ja nimemtukana customer care, nmeweka vocha ya 2k nijiunge bando la internet, nmejiunga hela wamekata internet hamna yaan kama haijaungwa, namwelekeza anajib hujajiunga, namwambia mi sio mtoto nidanganye ili iweje, analazimisha nkamwambia airtel nyie ni mi. K**ndu nkakata
 
Wakuu hivi ni mimi ambae nakumbana na hili tatizo la internet kwa hawa airtel!? maana natumia like 10 minutes mtandao unakata hadi nitoe modem then niweke tena. Na upande wa simu hivyohivyo hadi nizime data then niweke on tena. Kama kuna tatizo mbona hawatupi taarifa ili tusipoteze fedha zetu kuunga bundle!? Airtel kuweni serious bhana.
Aisee ni mitandao karibu yote,Halotel ndo usiseme,nadhani kiwango cha internet tunachonunua huku Africa inaweza kua ni ndogo sana na ndiyo sababu ya kuhangaika kwetu

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Hili tatazo kwa airtel limekua common sana.. . Lifanyieni kazi hilo tatizo @airteltz
 
Capture3.JPG

AIRTEL WASIJE NIONA MCHAWI UTHIBITISHO HUO NA BANDO LIPO LA KUTOSHA.
 
Mim nishasema sana kuhusu Airtel juu ya net na mawasiliano wako chini sana,ingawa vifurushi vyao vizur,voda wako njema sana ila gharama za mb ndo mtihani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mawasiliano ya simu ya Airtel ni tatizo kubwa, unaweza kumpigia simu mwenye Airtel ama wa Kampuni nyingine mkawa hamsikilizani na hata pia ukipigiwa simu.
 
kinachoniuma zaidi makampuni yote ya mawasiliano yanaibia wananchi lakini AJABU serikali imekaa kimya tu kama poyoyo...halafu inajitapa sirikali ya wanyonge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom