Airtel naona wamerudia tena kuiba ama kukata bando.Wanahakikisha bando unalonunua la siku 3,liishe ndani ya siku moja tu,hata utumie kidogo kabisa ama usitumie kabisa.Na wakijua mteja wao wa mara kwa mara,haka kamchezo wanakachomekea kila baada ya mda fulani.WANABOA SANA,HILI KAMPUNI HAKIKA NI JIPU hasa kwenye bando za internet NA UFISADI KWA KWENDA MBELE.Kichefuchefu sana hawa jamaa mpaka naona vema nao kuwapimzika...wizi mtupu tena wa bila haya kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app