duh labda kutokana na maneo mimi hapa nilipo hiyo hiyo airtel na download movie ya 1 gb kwa dakika 11 au ikizidi sana dk 30Wakuu hivi ni mimi ambae nakumbana na hili tatizo la internet kwa hawa airtel!? maana natumia like 10 minutes mtandao unakata hadi nitoe modem then niweke tena. Na upande wa simu hivyohivyo hadi nizime data then niweke on tena. Kama kuna tatizo mbona hawatupi taarifa ili tusipoteze fedha zetu kuunga bundle!? Airtel kuweni serious bhana.
Binafsi nimezunguka mikoa kadhaa ndani ya wiki mbili, Airtel mtandao una shida sanaaa. Siku mbili hizi sio Internet hata network ya kupiga inakuja na kukata. Ukipiga au ku pokea simu sauti inayotokea upande wa pili hamuelewani kabisaa.duh labda kutokana na maneo mimi hapa nilipo hiyo hiyo airtel na download movie ya 1 gb kwa dakika 11 au ikizidi sana dk 30
Wakuu hivi ni mimi ambae nakumbana na hili tatizo la internet kwa hawa airtel!? maana natumia like 10 minutes mtandao unakata hadi nitoe modem then niweke tena. Na upande wa simu hivyohivyo hadi nizime data then niweke on tena. Kama kuna tatizo mbona hawatupi taarifa ili tusipoteze fedha zetu kuunga bundle!? Airtel kuweni serious bhana.
Aisee ni mitandao karibu yote,Halotel ndo usiseme,nadhani kiwango cha internet tunachonunua huku Africa inaweza kua ni ndogo sana na ndiyo sababu ya kuhangaika kwetuWakuu hivi ni mimi ambae nakumbana na hili tatizo la internet kwa hawa airtel!? maana natumia like 10 minutes mtandao unakata hadi nitoe modem then niweke tena. Na upande wa simu hivyohivyo hadi nizime data then niweke on tena. Kama kuna tatizo mbona hawatupi taarifa ili tusipoteze fedha zetu kuunga bundle!? Airtel kuweni serious bhana.