Tatizo la Intaneti mtandao wa Airtel

Mtandao ya Sim yote ni majanga

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Airtel naona wamerudia tena kuiba ama kukata bando.Wanahakikisha bando unalonunua la siku 3,liishe ndani ya siku moja tu,hata utumie kidogo kabisa ama usitumie kabisa.Na wakijua mteja wao wa mara kwa mara,haka kamchezo wanakachomekea kila baada ya mda fulani.WANABOA SANA,HILI KAMPUNI HAKIKA NI JIPU hasa kwenye bando za internet NA UFISADI KWA KWENDA MBELE.Kichefuchefu sana hawa jamaa mpaka naona vema nao kuwapimzika...wizi mtupu tena wa bila haya kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wnapokezana vijiti mkuu

Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
 

MAN UP! Una utoto sana, hakuna sehem hakuna changamoto, hio 2K ndo inakufanya utukane kwa tatizo la sku moja? what about other days?
 
Tatizo hilo lipo Sana lakini wao wamajali pesa tu na kutoa huduma mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…