Eshacky
JF-Expert Member
- Apr 26, 2011
- 965
- 252
Ndugu wana JF, nitumain langu mu wazima wa afya, mimi nina tatizo la jicho la kulia,ambapo huwa ngoz ya jicho hucheza cheza kwa ndan, yaan km mishipa huvuta vuta nahisi km jino linafumba fumba, ila nikimulza m2 kama anaona jicho lina blink. Jibu n hapana, Ni kama mwez linafanya hivyo pasipo maumivu, ila kuna wakat linawasha.
Ni tumaini langu kupata ushaur wa kidaktar kutoka kwenu wajuzi wa mambo ya kiafya.
Ni tumaini langu kupata ushaur wa kidaktar kutoka kwenu wajuzi wa mambo ya kiafya.