JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Joto la mwili kupungua (hypothermia) #MtotoNjiti huwa anapoteza joto kwa haraka zaidi
Ni lazima kuhakikisha anatunzwa vizuri kwa kutumia njia kama vile kumfunika nguo, kumweka katika mashine maalum (incubators)
Njia nyingine ni kumweka kifuani kwa Mama (Kangaroo Mother Care) pia kuepuka kumwogesha mtoto mpaka ile siku aliyotarajiwa kuzaliwa ifike.
Upvote
0