J JamiiTalks JF Advocacy Team Joined Aug 7, 2018 Posts 685 Reaction score 1,124 Dec 26, 2020 #1 Joto la mwili kupungua (hypothermia) #MtotoNjiti huwa anapoteza joto kwa haraka zaidi Ni lazima kuhakikisha anatunzwa vizuri kwa kutumia njia kama vile kumfunika nguo, kumweka katika mashine maalum (incubators) Njia nyingine ni kumweka kifuani kwa Mama (Kangaroo Mother Care) pia kuepuka kumwogesha mtoto mpaka ile siku aliyotarajiwa kuzaliwa ifike. Upvote 0
Joto la mwili kupungua (hypothermia) #MtotoNjiti huwa anapoteza joto kwa haraka zaidi Ni lazima kuhakikisha anatunzwa vizuri kwa kutumia njia kama vile kumfunika nguo, kumweka katika mashine maalum (incubators) Njia nyingine ni kumweka kifuani kwa Mama (Kangaroo Mother Care) pia kuepuka kumwogesha mtoto mpaka ile siku aliyotarajiwa kuzaliwa ifike.