Chimbuvu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2012
- 4,401
- 2,345
Nimekuwa nikisumbuliwa na hili tatizo mwezi wa pili sasa,hapo awali jukwaa la chitchat katika newpost ya mobile browser ilikuwa inaonekana lakini kwa sasa jukwaa la chitchat mpaka uingie moja kwa moja katika jukwaa,kama ilivyokuwa katika desktop sa hv hali hiyo ipo katika mobile.swali je ni kamchina kangu kameisha guarantee ama ni tatizo la kila mtu? Invisible Paw Mike McKee
cc: Bishanga Mamndenyi Judgement Arushaone Baba V erick B52
nb:nipo tayari kukosolewa
cc: Bishanga Mamndenyi Judgement Arushaone Baba V erick B52
nb:nipo tayari kukosolewa
Last edited by a moderator: