Mdau mwenza! Labda niseme wewe sasa umekua mtu wa4 kusikia unalalamikia tatizo hilo.
Mimi pia ni "mobile user" but nashkuru sijapatwa na tatizo hilo.
Either nilichokigundua ni mabadiliko ya mara kwa mara ya mifumo ya Forums, mf. Eneo la kuingilia Desktop siku zote lilikuwepo japokua nilikua silitumii kwakua linakula sana MB.
Na ikitokea nimeingia kw dharura kutoka ilikua rahisi unabofya eneo la "mobile user" natoka.
Currently hilo eneo la Desktop limeyayuka, badala yake kuna neno "Touch" recently nika'click hiyo Touch nikakuta nimeingia ambapo pako sawa tu kama nimepitia desktop.
Issue ikaja kutoka kila nikibofya "mob.user" haikubali kutoka. Kumbuka kwa mwenye mob akiwa desktop itakua unasoma tu threads lakini huwezi ku'edit.
Nikajikuta niko exile!
Hadi nilipo log'out ndy nikatoka, bt disturbus ukilog-out, kurejea Jf unapashwa ufanye half re-registration or full sometimes.
In short nadhani huenda tatizo likawa kt ya simu na simu.
Otherwise contact with Mods, hilo tatizo liko kw wengi sasa, utasaidia na wengine litakapo kua solved.