Tatizo la Kijembe juu ya kitovu, muda mwingine huwa kanapotea

Tatizo la Kijembe juu ya kitovu, muda mwingine huwa kanapotea

daniel lufumbula

Senior Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
106
Reaction score
176
Hii ni mara kwa mara napata hili tatizo nina muda mrefu sana zaidi ya miaka mitatu kajembe kalishapotea na ndani yake huwaga napata maumivu sana. Sasa saiv imefika sehemu nguvu za kiume zinanipungua hata kwa wife. Eti nifanye nini jamani? na tiba yake ni nini?

Naomba ushauri na ufafanuzi zaidi.
 
Aisee haujaeleweka vzur ndugu labda lakn una tatizo la enia jarbu kwenda hospital ukachek kwa utrasound.
 
Back
Top Bottom