Tatizo la Kitambi na uzito ACHA KULA WALI!!

Tatizo la Kitambi na uzito ACHA KULA WALI!!

Kitu ambacho watu wengi tumekuwa tukifichwa ni kwamba Wali sio mzuri kwa watu tunaotaka kupunguza kitambi au kupunguza uzito kwasababu zifuatazo.

1. Wali una sukari ambayo ikienda mwilini inakuwa kama mafuta ya energy. Mafuta haya yakiwa mengi na haitaji kutumika yanawekwa kwenye store! ambayo ni tumbo na hips.
2. Wali ukifika tumboni una umuka hivyo unafanya tumbo liwe kubwa
3. Wali unazuia system ya mwili kufanya kazi vizuri hasa kwenye choo. Hivyo uchafu mwingi unabaki mwilini na kusababisha njia za utumbo kuwa ndogo. Ndiyo maana una pata choo kidogo ukila wali sana
Ndiyo maana watu wenye kisukari wanaambiwa wasile wali na kama unataka kupunguza uzito haraka acha kabisa wali.

nadhani tuzungumzie kiasi (calories, gr. etc.) mtu anachotakiwa kula kulingana na shughuli anazofanya, umri, etc.
 
Si Utani... ukikubali au ukikataa eeh.. ukikubali au ukikataa hiyo ndio hali halisi.... Pole sana kama umekwazika...

wala sijakwazika ugali ndo utamaduni wetu ndo mana unaona wasukuma ndo watu wenye nguvu zaidi duniani
ukitaka kumfukuza usipike ugali mwezi ataondoka mwenyewe
 
hebu tuondolee mbwembwe hapa.
unga wa dona unauzwa supermarket alongside nyanya na mchicha.
Hujanisoma vizuri nimesema kuwa unga wa dona wa dukani ni risk maana huwezijua namna wanavouandaa eg mahindi yanaweza yakawa yalipigwa dawa lakini wakayasaga hata bila kuosha so kwa mtu ambae anakaa Oysterbay ni issue maana kule hakuna mashine za kusaga kama huku kwetu Buhendangobo wilayani Ngara
 
wala sijakwazika ugali ndo utamaduni wetu ndo mana unaona wasukuma ndo watu wenye nguvu zaidi duniani
ukitaka kumfukuza usipike ugali mwezi ataondoka mwenyewe

mmmh hizo takwimu za watu wenye nguvu zaidi duniani umezitolea wapi mkuu? ina maana hata The World's Strongest man Mark Henry naye ni Msukuma?

mark_henry_wwe.jpg
 
mmmh hizo takwimu za watu wenye nguvu zaidi duniani umezitolea wapi mkuu? ina maana hata The World's Strongest man Mark Henry naye ni Msukuma?

mark_henry_wwe.jpg

hahahahahahaa yawezekana ana asili ya huku huwezi jua
ukitaka kuthibitisha power ya wasukuma angalia wanavyomanage shughuli zinazohitaji nguvu hii sio kwa wanaume tu hata wanawake
 
Back
Top Bottom